pakaywatek
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 4,710
- 6,372
Bado mpaka Leo sijaelewa Rais mkapa katangaza kifo cha Baba wa taifa baada ya dakika chache komba kashusha wimbo wa maombolezo.
Zumbe ukisikia nitag Tafadhali maana mie sijaelewa kitu naona mapicha picha tu!Kwani kumetokea nini! Mbona ndani ya hizi siku chache habari ya kifo/vifo imetawala sana!
Kuzaliwa, kuishi na kufa ni sifa ya kiumbe hai chochote msituchoshe na habari za vifo vifo kama vile ninyi ni vyuma.
Ikiwa kweli nistue nikakope kwenye kikoba ninywe biaKuna mtu kafa kwani?km ndo yule nisompenda nambieni nipike pilau kabisaa
Kwani kumetokea nini! Mbona ndani ya hizi siku chache habari ya kifo/vifo imetawala sana!
Kifo/vifo vya nani mkuu?
Unataka kusema kuna watu wako studioni?Bado mpaka Leo sijaelewa Rais mkapa katangaza kifo cha Baba wa taifa baada ya dakika chache komba kashusha wimbo wa maombolezo.
Hii ni kwakuwa kuna watu huwa wanaojimwbafy kana kwamba wataishi mileleKuzaliwa, kuishi na kufa ni sifa ya kiumbe hai chochote msituchoshe na habari za vifo vifo kama vile ninyi ni vyuma.