Tujikumbushe kauli za viongozi wetu

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
850
586
Katika uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, aliposimama kutoa neno, nikakumbuka kilikuwa kipindi chake ambapo Waziri wake Mramba aliwahi kutoa kauli tata sana:

"Mtakula hata nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe"
Basil Pesambili Mramba
Waziri wa fedha
2001-2005

Kauli hii ilijipatia umaarufu mkubwa mno Tanzania kiasi cha kuzua maswali mengi sana wengine wakijiuliza huyu alikusudia nini.

Uzi huu, ni maalum kwa kujikumbusha kauli za viongozi wetu wastaafu na waliopo madarakani, ambazo ziliwahi kuwa gumzo Tanzania.

Karibuni.
 
'MALOFA WAKUBWA'
Kauli hiyo alitamka siku ya Julai 10, 2017 akiwa Chato, Mkoani Geita.
1. Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe- Cleopa Msuya akiwa waziri wa fedha wakati wa kikao cha bunge la bajeti mwaka 1989

2. Hata ikibidi watanzania kula nyasi ndege ya rais itanunuliwa - Mramba akiwa waziri wa fedha.

3. Watanzania wana wivu wa kike- Benjamin Mkapa akiwa Rais.

4. Watanzania wavivu wa kufikiri- Rais Benjamin Mkapa akiwa Rais.

5. Kelele za mpita njia hazimnyimi mwenye nyumba usingizi, Rais Kikwete.

6. Atakayegombea na Kikwete atakufa ghafla, Sheikh Yahaya Hussein, akiwa anapiga ramli Channel Ten.
 
Aliyetoa kauli ya "Watakula hata nyasi" yeye ndie alitangulia kwenda kula hizo nyasi pale Gereza la Keko
 
Kauli hiyo alitamka siku ya Julai 10, 2017 akiwa Chato, Mkoani Geita.
1. Kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe- Cleopa Msuya akiwa waziri wa fedha wakati wa kikao cha bunge la bajeti mwaka 1989

2. Hata ikibidi watanzania kula nyasi ndege ya rais itanunuliwa - Mramba akiwa waziri wa fedha.

3. Watanzania wana wivu wa kike- Benjamin Mkapa akiwa Rais.

4. Watanzania wavivu wa kufikiri- Rais Benjamin Mkapa akiwa Rais.

5. Kelele za mpita njia hazimnyimi mwenye nyumba usingizi, Rais Kikwete.

6. Atakayegombea na Kikwete atakufa ghafla, Sheikh Yahaya Hussein, akiwa anapiga ramli Channel Ten.
Naona mkuu una details zoote
 
Katika uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, aliposimama kutoa neno, nikakumbuka kilikuwa kipindi chake ambapo Waziri wake Mramba aliwahi kutoa kauli tata sana:

"Mtakula hata nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe"
Basil Pesambili Mramba
Waziri wa fedha
2001-2005

Kauli hii ilijipatia umaarufu mkubwa mno Tanzania kiasi cha kuzua maswali mengi sana wengine wakijiuliza huyu alikusudia nini.

Uzi huu, ni maalum kwa kujikumbusha kauli za viongozi wetu wastaafu na waliopo madarakani, ambazo ziliwahi kuwa gumzo Tanzania.

Karibuni.
yule lodi lofa aliyewahi kusema wasio na bati ya pantoon wapige mbizi. Yuko wapi siku hizi ?
 
Hayo mashetani menyewe kwa menyewe hayapendani mpaka yanalishana sumu yatakuwaje na huruma na upendo kwa watanzania ?
Katika uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, aliposimama kutoa neno, nikakumbuka kilikuwa kipindi chake ambapo Waziri wake Mramba aliwahi kutoa kauli tata sana:

"Mtakula hata nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe"
Basil Pesambili Mramba
Waziri wa fedha
2001-2005

Kauli hii ilijipatia umaarufu mkubwa mno Tanzania kiasi cha kuzua maswali mengi sana wengine wakijiuliza huyu alikusudia nini.

Uzi huu, ni maalum kwa kujikumbusha kauli za viongozi wetu wastaafu na waliopo madarakani, ambazo ziliwahi kuwa gumzo Tanzania.

Karibuni.
 
Katika uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa, aliposimama kutoa neno, nikakumbuka kilikuwa kipindi chake ambapo Waziri wake Mramba aliwahi kutoa kauli tata sana:

"Mtakula hata nyasi lakini ndege ya Rais lazima inunuliwe"
Basil Pesambili Mramba
Waziri wa fedha
2001-2005

Kauli hii ilijipatia umaarufu mkubwa mno Tanzania kiasi cha kuzua maswali mengi sana wengine wakijiuliza huyu alikusudia nini.

Uzi huu, ni maalum kwa kujikumbusha kauli za viongozi wetu wastaafu na waliopo madarakani, ambazo ziliwahi kuwa gumzo Tanzania.

Karibuni.
Nashangaa vibaka kuchomwa moto huku fisadi kuu likipeta-dj.
 
1. "Ukitaka kula lazima na wewe uliwe"...JK

2. "Hihiiiiiiiii.."…....Magufuli

3. "Awamu hii Kaskazini Wasubiri kwanza"...Magufuli
 
"jamaa ni mshamba sana'' na Nape

"kujimwambafai" na JK

"not to that extent..'' na jpm

"hakuna kuweka mpira kwapani.." na Jafo

"..hakuna kukimbiana hapa.." waziri Jafo

"..tuna raisi wa ajabu kweli kweli.." na Lisu

"watanzania tembeeni kifua mbere tuko kwenye light truck.." na JPM
 
Akili za kuambiwa changanya na zako..by JK

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
 
Back
Top Bottom