Recent content by Prezidah

  1. Prezidah

    Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Mmmh semi trailer tena? Hapana bosi tractor with cash
  2. Prezidah

    Kuhusu bei halisi ya matrekta

    Mi ninayo Massey ferguson 165 with 65Hp used bei 25m@ imported in march
  3. Prezidah

    Yuko wapi Beatice shelukindo?

    hata mimi nimejiuliza hili swali mara 100 naombeni majibu anaejua. Mwanyasi umenionea
  4. Prezidah

    CHADEMA nitajieni List yenu ya Viongozi wa tano(5) tu ambao wataliongoza taifa , wakati wenu

    nadhani lengo la chadema ni kuongeza idadi ya wabunge ili kuongeza nguvu bungeni na ruzuku pia. chadema hawana imani na taasisi nyeti zifuatazo; 1. polisi 2. usalama wa taifa 3. tume ya taifa ya uchaguzi 4. ikulu 5. bunge 6. kamati za ulinzi na usalama za Mikoa na Wilaya 7. 8...
  5. Prezidah

    Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    Jipe muda utaelewa tu siyo lazima sasa hivi lakini baada ya oktoba tukutane hapa
  6. Prezidah

    Hatma ya nchi chini ya CCM: Masikio yote Dodoma

    Hata kama ccm ingekuwa ICU bado itapewa nchi maana hakuna chama chochote cha upinzani chenye hadhi, sera, mfumo wenye kukidhi matakwa ya kupewa nchi. vyama vyetu vya upinzani vimeanzishwa katika misingi ya ub...inafsi na vinaendeshwa kwa misingi hiyo hiyo so they are good to continue being...
  7. Prezidah

    Mkakati wa Kumkosesha Urais Edward Lowassa ni Ndani ya CCM asipate na Hata Upinzani, ipo hivi

    a wise person doesn't urge unless he/she has data to verify at any time what they are saying. you should be tired of this endless songs of fisadi or go to pcccb with evidence
  8. Prezidah

    Madereva 15 wa Daladala na Mabasi ya Mikoani wafukuzwa kazi

    mkuu sijaangalia taarifa ya habari vipi wametimuliwa kazini?
  9. Prezidah

    Tetesi: Madereva kugoma tena kesho,nchi kutikisika

    inamaana hata m/kiti wa cdm hawakumwelewa au ni kiburi
  10. Prezidah

    Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

    umemsikia waziri juzi kawatimua wazungu waliojifanya wapambanaji wa majangili? sijui wameshindwana kwenye mgawo?ebu jiulize how comes serikali inaingia MOU ambayo iko kinyume na sheria zetu.
  11. Prezidah

    Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

    mkuu huko ulikoenda mi sipo maana nikitakiwa kuverify ntang'aa macho ila suala la msingi bado kauli ya JK Nyerere kuhusu wanyamapori hatuitekelezi ipasavyo ndo maana tembo wanapukutika
  12. Prezidah

    Ripoti mpya ya mauaji ya halaiki ya tembo Tanzania

    kuna kitu wanaita "animal rights" inapinga kifo kinachochukua muda hivyo ukiweka kunyonga sijui wataandamana haki za binadamu na wengine so better kimya kimya porini tu.
Back
Top Bottom