Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote pale umri wake from 23-30 all the best
mm ni mtumishi wa umma nilihamishiwa kituo kipya lkn mazingira hayo hayakuwa salama kwangu nikatoa taarifa kwa DED lkn akapuuza nikatoa taarifa TAMISEMI wakam order DED kunbadilishia kituo lkn kagoma six month sipo jobu salary amezuia ss nifanyeje?
Dada yangu mtu yeyote asikudanganye uvunje ndoa yako ndoa inachangamoto nyingi cha kufanya toa taarifa kwa kiongozi wa dini au kwa wazazi wake ili msuluhishwe problems are not solved by runing
Mh zito nakupongeza kwa mikakati yoko ya kukomboa nchi yako lakini kutokana na tamaa za kiutawala ulionao hutafika popote shetani alitafuta umaarufu mbinguni matokeo yake hakupata na kushushwa duniani anazunguka zunguka duniani mpaka leo.
Rafiki yangu alinambia jana kuwa anataka kuoa nimsaidie kutafuta mke nikaona ni vyema nitoe taarifa hapa jukwaani ili kama kuna dada yupo tayari kuolewa ani PM aweke namba zake ili wakubaliane.
Mtoa mada nakubaliana na wewe kwa asilimia zote kwani ukifuatilia movie za x hutokuwa na isia na wanawake kwani sehemu za siri za wanawake ni mbaya ajabu ukizoa kumsafisha chombo chako jogoo halitopanda mtungi badala yake migogoro ya ndoa na divorce.
Uongozi wa millennium hotel unatangaza nafasi za kazi kama ifuatavyo huduma kwa wateja nafasi moja na mpishi nafasi moja kituo cha kazi ni BUTIAMA centre fika moja kwa moja au piga namba hizi 0768 594 351 wasichana watapewa kipaumbele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.