- Thread starter
- #41
mi nipo tayari ila ndoa iwe November
december nina mishe nyingne
Ntumie namba zako kwenye email yangu hapo juu 4more conversation
mi nipo tayari ila ndoa iwe November
december nina mishe nyingne
Kwann umependelea kuja kusaka mchumba/ mke humu? Ukijib kwa umakini ntakuambia kitu
nimei like hiyo"maisha sio maigizo." we wafaa..
niko tayari
hivi wew ulisha ponaga ukichaaMimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email hii chachaadudu@gmail.com
unaumwa wewe siyo mzimaMimi ni kijana wa kiume miaka 28 sijaoa natafuta mke nipo sirias nimeshajipanga vya kutosha nikimpata ndoa december 2014 kama kuna dada yupo tayari kuolewa tafadhali wasiliana nami kupitia email hii chachaadudu@gmail.com