Recent content by presidizo

  1. presidizo

    Naomba kujuzwa Chimbo la remote za Tv jumla Kariakoo

    Mkuu je ulifanikiwa? Kama bado nicheck utazipata
  2. presidizo

    Ujumbe wa aliyejiua kisa penzi la Monica (mke wa Masanja). Chunguzeni wake zenu

    Kiukwel nahisi polisi wakiingia kazin kabisa kuna story nyuma ya pazia. Yaweza kua hata kauwawa huyu dogo au kuna tukio jingne la kiuharifu nyuma yake. Sema kwakua wachungaji wanachuliwa wapigaji watu wanafurahia na kuona jamaa kaabika na kakomeshwa.
  3. presidizo

    Wazo Pevu kwa 15millions....

    Njoo msumbiji kwenye maska ununue dhahabu after one yr utakua hata na ml 40 ukikaza. Maana hapo nisawa na grm 150 ambazo for one yr kwako unae anza huwez kushindwa kufikisha grm 350 so huwez kukoswa hyo pesa labda uwe mtu wa bata kupita kias.
  4. presidizo

    Nifungue project/biashara gani kwa mtaji wa milion 12

    Ww ulikuja ama kuish huku zaman sana 1000 ni sawa na 30000 to 32000 ya bongo kwa sasa
  5. presidizo

    Historia ya Maisha yangu baada ya chuo mwaka 2009

    Huyu mwamba story yake imefanana na yang sema yeye nmkubwa kidogo coz chuo mm nilimaliza 2015 na now nipo msumbiji na baada ya shida zote now am about 1. 5kl of gold kwa just 2 yrs na miez yake. Ngoja jamaa amalize na mm ntawaispire wapambanaji wenzangu na yakwang japo kidogo. Endeleea mwamba.
  6. presidizo

    Nakaribisha partner kwenye biashara

    Mkuu nipo interested sina business visa lakin na passport kubwa na nipo mzumbiji
  7. presidizo

    Tukio la kusisimua nililolishuhudia kwa macho yangu katika msitu wa Nairoto

    Dah story yako ni ya kwel. Mm naish Cabo del gado. Baada ya kumaliza chuo SAUT 2015 coz ya education nilipitia maisha magum sana kulingana na background yang so nkajiingiza kwenye biashara ndogo ndogo hatimae 2019 mwez wa 6 nkafika mozambique. Hapo nikiwa na ml 5 sawa na MT 160000 ya huku...
  8. presidizo

    Umeshawahi kumla shemeji yako?

    Uongo ni nini..? Uongo nikua 2003 alikua n laptop anaangalia movie n laptop inakaa na charge mpaka shem ake anasinzia. Chaii hii... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. presidizo

    Huyu mtangazaji wa redio Free Afrika yupo wapi kwa sasa?

    Wakuu kalishwa sumu kwenye bus. Yupo hoi huko Sent using Jamii Forums mobile app
  10. presidizo

    Nina laki 3, Nahitaji simu

    nina s6 edge ni check
  11. presidizo

    Orodha ya kikosi kazi cha makamanda watakaoongoza kampeni kwenye majimbo ya Kinondoni na Siha

    wao wataweka mpira kwapani kwa msaada wa police
Back
Top Bottom