House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

House4Rent Nipe milion 3 nikuachie pa kuishi

Dressing

IMG_20210823_162745.jpg
 
Tv mbona hujaiweka kwenye list mkuu?
 
Ila hiyo nyumba ni nzuri sana kwa ndani. Ila Dar kupata makazi mazuri utasikia bei za ajabu ajabu utadhani unalipia marejesho ya mkopo .
Hakika mkuu, nyumba ya hadhi fulani hivi, Mwanza nyumba za kupanga nyingi ndiyo maana bei nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom