kipi bora, kati ya kununua laptop ya tsh.25000 dukani na desktop ya tsh. 230000?

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
jamani nahitaji computer kwa bei tajwa hapo juu! je hizo computer zina ubora endapo nitazipata kwa bei hiyo?
 
Kabla haujaongeza sifuri Moja kwenye bei ya LapTop, kwa vigezo vya bei yako. Sijajua hiyo desktop iwe full mpaka monitor au ni cpu peke yake?
Kama ni cpu peke yake bora uchukue desktop ila kama ni full Bora uchukue laptop.

ok mkuu! dadavua kidogo nikuelewe!
 
Swali langu linaudadavuzi mzuri yaani jibu lako ndio litanipa go ahed. Wewe si umeuliza Kati ya Desktop na Laptop kwa bajeti yako.

Ok Hiyo Desktop iwe ina Display Monitor ya aina gani kati ya Chogo na Flat na ya ukubwa gani yaani inchi ngapi?. Na zaidi unataka kutumia kwa matumizi gani?
nikisema cpu pekee yake namaanisha bila display monitor.
Jibu kwanza swali lenye alama ya kiulizo.
 
Back
Top Bottom