Recent content by presenttt

  1. presenttt

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuwa Atheist

    Loose Nut tumeiyona " ujumbe wako
  2. presenttt

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndo anaendesha Serikali(?)

    Lete mtori uo hakikisha nyama ziwe nyingi....
  3. presenttt

    JamiiForums Tanzania Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

    Inahusiana na wewe kubaki bila kuondoka. Utaelewa vizuri katika wakati sahihi.👣
  4. presenttt

    JamiiForums Tanzania Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Uzi mzuri na Unanitia nguvu kuona Kumbe kila mtu ana nyakati Zake za moto. Mimi taingia jana asubuhi mpaka muda huu ni vikombe vya maji tu ndo vimehusika tumboni. Usiku wa Jana ulikuwa mrefu sana sijui wa leo.
  5. presenttt

    JamiiForums Tanzania Afya ya akili: Ambaka kuku hadi kufa!

    [emoji23][emoji23]
  6. presenttt

    JamiiForums Tanzania Labda ni dini zetu ndio zinazotuchanganya na kupotosha kuhusu Mungu

    Ongezea nyama mkuu kuhusu madhehebu na ushetani...
  7. presenttt

    JamiiForums Tanzania Natoa huduma za kushughulikia masuala mbalimbali Dodoma bila wewe kulazimika kufika hapa

    Hongera Mkuu nime subscribe uzi wako najua kunasiku waweza nifaa.
  8. presenttt

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuendesha (ku-control) nafsi ili kujikomboa katika vifungo na kuwa msaada kwa wengine

    Mkuu unaishusha lini? Kuna jamaa washaanza kufanya hitimisho kwenye uzi wako tafadhari usitoke kwenye mstari.
  9. presenttt

    JamiiForums Tanzania Msaada wana JF wenzangu, nina msongo wa mawazo

    Mkuu pole Sana watu wengi wanaweza wasi kuelewe. Binafsi nishafanya majaribio matatu ya kujiua........) lkn nashukuru Mungu Kwa pumzi ii mpaka sasa. Fahamu kila mtu ana changamoto Zake ambazo kwake ni kubwa mno lkn still bado wana pambana Cha msingi kabisa toka sehemu iyo ambayo wanakujua...
  10. presenttt

    JamiiForums Tanzania Siasa sio vita

    Wewe sasa Unataka kutuamisha kuwa bila iyo CCM wewe Usingekuwa hai, Usingekuwa unapumua sindio?
  11. presenttt

    JamiiForums Tanzania LONDON: The Global Finance Awards waitaja NMB toka Tanzania kama Benki kinara yenye riba nafuu na yenye kuwajali zaidi wateja wake zaidi duniani

    Ulio wataja apo ni sehemu ya uongozi wa NMB? Au ndo ata ukipumua Asante sa100
Back
Top Bottom