Recent content by Premij canoon

  1. Premij canoon

    Vifaa vya bucha (butchery) vinauzwa

    Boss nataka hiyo AC chukua 350k
  2. Premij canoon

    KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Bado umetumua AI kugundua video ya AI. Mkuu kesi ishakua ngumu mgeni kakataa soda anataka 600 yake
  3. Premij canoon

    Kwa biashara ya mbuzi na ng'ombe Kwa anayehitaji niwe namletea kwa ODA

    Mimi nataka kuanza ufugaji wa mbuzi. Nataka kuanza na mbuzi 10, utaniuziaje? Nipo Dar
  4. Premij canoon

    Wakuu TikTok imefungiwa Tanzania, yaani Total Ban hata kwa VPN?!

    Wakuu tiktok mbona kwangu siipati ghafla? Nilikua naitumia kwa VPN ilivyofunguliwa nikaitumia bila VPN kwa siku kama 2 hivi then ghafra imekua unavailable hata nikitumuaVPN bado haikubali. Nikufungua app inaandika hivi:- "Our services are not available in your country or region"
  5. Premij canoon

    Mtandao wa Tiktok umefunguliwa, sasa unaweza kuperuzi Bila VPN

    Wakuu tiktok mbona kwangu siipati ghafla? Nilikua naitumia kwa VPN ilivyofunguliwa nikaitumia bila VPN kwa siku kama 2 hivi then ghafra imekua unavailable hata nikitumuaVPN bado haikubali. Nikufungua app inaandika hivi:- "Our service are not available in your country or Region!
  6. Premij canoon

    Katika kipindi hiki kigumu watanzania ndio mnawaona watu walio upande wenu na wapumbavu njaa baadae tusifanye makosa

    A few moments later? Sema jeshi limejivua nguo na limepoteza heshima kubwa kwa jamii. 💔
  7. Premij canoon

    Sanamu la mchezaji messi lazinduliwa kolkata

    Huyu atakua mose sio messi
  8. Premij canoon

    Farm life ☺️☺️☺️

    Ni bei ya wapi hiyo? 1kg inauzwa buku?
  9. Premij canoon

    PostGE2025 Wito: Rais Hutubia nchi Jioni ya Tarehe 8 Dec

    Hatuna Rais, uchaguzi haukufanyika mwaka huu.
  10. Premij canoon

    Treni ya SGR yapata ajali asubuhi leo Oktoba 23, 2025 ikitokea Dar kuelekea Dodoma

    Duh nini shida? Anyeays tusubiri wataalamu walete majibu
  11. Premij canoon

    Njia ya hamza ndo njia inayoeleweka kirahisi

    Sasa mbona unang'ata na kupuliza? Utatiki mwenyewe!
Back
Top Bottom