Recent content by premierfreights

  1. P

    Prof. Kabudi: Maneno yanayoenezwa JamiiForums juu ya sheria mpya ya madini ni ya uongo na uzushi

    Mkuu Tulijinasua ama walitupa tu kwa huruma zao unafikiri wangegoma kutupa tungekua na cha ziada kufanya hongkong tu wamepewa juzi
  2. P

    Prof. Kabudi: Maneno yanayoenezwa JamiiForums juu ya sheria mpya ya madini ni ya uongo na uzushi

    Sheria mpya haifuti mikataba ambayo tayari ilishakuwepo
  3. P

    Prof. Kabudi: Maneno yanayoenezwa JamiiForums juu ya sheria mpya ya madini ni ya uongo na uzushi

    Mkuu Naona sheria na masharti ya sheria huyajui makampuni makubwa yote yanayoekeza kwenye nchi za kigeni wanajua kutakua na clause na ndo wanaweka katika mikataba kwa . Sheria yeyote itakayotungwa baada ya makubaliano haitambuliki kisheria. . Kupanda au kushuka kwa tax na vinavyofanana na...
  4. P

    Prof. Kabudi: Sheria mpya za madini hazitahusu migodi inayoendelea

    Mkuu ukisoma ya Libya Gadafi aliingia kimapinduzi yaani kijeshi professa wangu mmoja aliwahi kusema namquote pale greenwich kwamba " nchi inaweza kupitiwa upya kwa mikataba endapo jeshi litachukua nchi ama kutokea kwa mapinduzi maana wale hawafati wala hawana katiba na wala huwezi kumshtaki...
  5. P

    Watanzania 58 wakamatwa mpakani na Msumbiji na kurudishwa

    Mkuu Umenikumbusha mbali sana lakini jangombe hamna mateja kuna wanywa gongo na waruguru wengi tu, mateja wapo miembeni bana
  6. P

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Mkuu mara nyengine ukitaka kununua kitu tuagizishie tutakutumia hadi dar lakini kutizama quality ni juu yako sisi mzigo hatufungui unless tuwe na wasiwasi nao karibu sana mkuu premierfreights kutoka UK.
  7. P

    Hivi unafahamu kwamba unaweza kuuza Kitu Ulaya bila kodi?

    hahahaha UK wana concider kama class C drug ukiingia wazee wakikudaka basi una fine ama: If you are caught, the police will take action and there is a risk of prosecution. As a Class C drug it will be illegal to supply, possess with intent to supply and import khat. Sanctions for these...
  8. P

    Hivi unafahamu kwamba unaweza kuuza Kitu Ulaya bila kodi?

    Mkuu Barbarosa, ungeweka ushahidi wa agreements between EU na THIRD COUNTRIES ingekua vizuri zaidi kuliko maneno matupu me naanza na UK kuweka kama link ambayo unaweza kufollow ili kujua Duties na VAT unatakiwa kulipa kwa kila bidhaa na kiwango chake : Import Duties and Taxes when Importing...
  9. P

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Nikweli na ndo maana tukakuadvice kwamba lazima vibali kutoka huko viwe genuine mistake kidogo tuu basi wanataifisha kila kilichokuwemo bila ya compensation na ukifata sheria zao basi rahisi tuu. Na ukifika hapa wanachukua mmoja ili kujua kama unafaa kwa matumizi ya binadamu lakini ukiweka info...
  10. P

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Mkuu Toxic9 Kama kampuni bado hatujafika Tanzania ni wachanga sana ila tunasafirisha mizigo ya watu wadogo wadogo kutokea ZNZ kuja UK kwa ndege kila wiki mbili lakini soon insha Allah tutapatikana Kariakoo. Premierfreights ni kampuni ambayo imebase UK (East London) tuna mtu maeneo ya Barking na...
  11. P

    Msaada: Exporting unga wa sembe to UK

    Mkuu Toxic9, Kampuni yetu ya Premier Freights inaweza kushughulikia swala lako ila unayotakiwa kujua kwamba unga wa Azam mara nyingi hawana guarantee ya mwaka mmoja na kama wakikwambia wanayo basi waambie wakupe kwa maandishi wasikwambie kwa mdomo ili chochote kitakachotokea basi unaweza kwenda...
Back
Top Bottom