Watanzania 58 wakamatwa mpakani na Msumbiji na kurudishwa

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Watanzania 58 wamekamatwa wakitaka kuvuka mpaka kati ya Tanzania na Msumbiji Mkoani Mtwara waliokuwa wanajaribu kuingia nchini Msumbiji na hivyo wamerudishwa.
Naibu Kamshna wa Uhamiaji Mtwara Kamishna msaidizi Mhagama amethibitisha hayo

Chanzo: ITV
 
Hawa watanzania nao!! Unaenda msumbiji kutafuta nini? Umasikini? Hii ni sawa na wamarekani kutorokea Mexico!!!!
 
Tena wanabahati wamerudishwa kwao, wangepelekwa Malawi sijui wangefanyaje maana kule ukionekana unatokea huku huchelewi kuitwa shushushu ukanaswa
 
Kuna nchi huwa nafikiria kutembelea lakini Msumbiji, Malawi, Somalia, Sudani, DRC, Mali na nchi zingine za kufanana na hizo hata ndoto tu zikiniijia niko huko huwa nazikataa!
 
Uzi wako hujaupa nyama. Kueleza kama walikuwa na pasipoti wakakatazwa.
AMA walikuwa wakienda kinyemela bila hati za kusafiria. Kama hawakuwa na hati, basi ni haki ya Msumbiji kufanya walilolifanya!
 
Warudishwe tu mbona ccm mwaka juzi wamewarudisha wanyarwanda na burundi ,mkuki kwa nguruwe
 
Uzi wako hujaupa nyama. Kueleza kama walikuwa na pasipoti wakakatazwa.
AMA walikuwa wakienda kinyemela bila hati za kusafiria. Kama hawakuwa na hati, basi ni haki ya Msumbiji kufanya walilolifanya!
Walikua na paspoti au bilapaspoti? Tujuze tukuelewe.
 
Hawa watanzania nao!! Unaenda msumbiji kutafuta nini? Umasikini? Hii ni sawa na wamarekani kutorokea Mexico!!!!

wameenda kutafuta malisho ila mozambique kunalipa sio sawa na bongo pesa yenyewe huku haina thamani washatupiga bao
 
Duh hii kali 58 basi eeh km wakimbizi au vipunda ivyo vinamkimbia kamishina mmasai maana kasema anawafata mpaka mateja wanzbar wa jangombe, daraja bovu kule
 
Labda watakua wanamkimbia Mmasai amewapiga mkwara lakini hashindwi kuwafuata huko huko kwa kutumia Interpol, warudi tu waende shimoni wakajieleze tu hamna namna hapa ndio kwao
 
Duh hii kali 58 basi eeh km wakimbizi au vipunda ivyo vinamkimbia kamishina mmasai maana kasema anawafata mpaka mateja wanzbar wa jangombe, daraja bovu kule
Mkuu

Umenikumbusha mbali sana lakini jangombe hamna mateja kuna wanywa gongo na waruguru wengi tu, mateja wapo miembeni bana
 
Labda watakua wanamkimbia Mmasai amewapiga mkwara lakini hashindwi kuwafuata huko huko kwa kutumia Interpol, warudi tu waende shimoni wakajieleze tu hamna namna hapa ndio kwao
Hamna uhusiano.ila kumbuka wale wahamiaji wa Congo.waliokamatwa.ukiwa mnoko,na wenzio watakufanyia unoko.
 
Back
Top Bottom