Recent content by Preety

  1. Preety

    Najuta kuoa mwanamke mlokole

    Kweli ushahuri mzuri mnooo, hii ni hekima ya kipekee kwa kizazi hiki cha nyoka!
  2. Preety

    Naomba kujua vyanzo vya mapato vya Lowassa!

    Aisee nimecheka sana eti ashki majinuni, 😂😂😂😂
  3. Preety

    Ladha yake nyama tupu! Members only

    Maaaambozi aisee nmekumis mnoo watu8
  4. Preety

    Najuta tamaa mbaya

    Duuuhh sasa mmaza anaendeleaje kukaa hapo wakati kijana hamthamini? Duuhhh maana hadi anaenda kupokelewa bidada anakaa hapo hapo na analala na kijana daah, hii dunia ngumu sana kuiishi!
  5. Preety

    Tabia mbaya sana hii

    Eti????? Mmhh
  6. Preety

    Nikimuona mtu anaoa namhurumia sana

    Very true,, wengi wao ni fake hakuna mfano wake loohh, kizazi cha nyoka hiki!
  7. Preety

    Gari lako lina spidi gani? Akina dada inawahusu!

    Nimekuja baba,niambie mume wangu mkiva
  8. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Uwiiii hajapatikana wa kunioa Excel so nipo namsubiri mr right! :):)
  9. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Hahahahaa haya na mm namsubiri, mimi sijaolewa Excel
  10. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Shida ni kwamba huyo wa utotoni hajamkaa moyoni, baba na mama hawamkubali ila anahamu ya kuolewa,, ahh kizungu zungu hiki aisee...., ninaempenda hanipendi, nisiempenda ameniganda kama luba!
  11. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Social networks zinawapatiamo watu wenza sina ubishi na hilo, ila sasa huyo tayari ana watu ambao hajawapatia ufumbuzi ghafla aunganishwe na mwingine, huoni atazidi kuchanganyikiwa? Excel?
  12. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Sio vibaya kabisa Excel ila nimeshtuka kuunganishwa, hapo hajamsaidia ila anamuongezea mawazo mhusika!
  13. Preety

    Sielewi nifanyaje

    Ahh jmn mkiva mume wangu ni rafiki tu ameamua kunifurahisha! Watu 8 hana madhara
  14. Preety

    Sielewi nifanyaje

    Haahahahhaaaa kibarua cha kusaka mizizi ya jiwe? Daaah hahahaa thank u for making laugh!
  15. Preety

    Sielewi cha kufanya...!

    Eeh??? Umuunganishie?
Back
Top Bottom