Wana jamii,
Ndugu yangu amekuwa akimlea mtoto msichana aliye fikiri ni wake ,mtoto anaishi na nyanya yake lakini ndugu yangu humtembelea mara kwa mara na humlipia fees, medical na mambo mengine financial support.Juzi akaelezwa kwamba mama ya yule mtoto amewambia wanaume wengine watatu eti mtoto...