Should i attend this wedding

PRECIOUSDOE

Senior Member
Feb 3, 2009
114
12
Kuna rafiki ambaye at one tym alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi moja and I feel indebted to her for how she assisted me.Anaolewa next month lakini as much as I want to be there circumstances surrounding the whole thing is making me think twice.

Nimemjua sasa for almost a year- kwa wakati huo wote nilijua a certain young man to be her boyfriend because walikuwa wana spend weekends,evenings and all free time togetherand even spending the nite at her place.Lakini kumbe behind the scenes huyu dada alikuwa anapanga harusi all this tym since last year sometimes its even thsi guy alikuwa anampeleka huko kumbe the lady anaenda kwao for dowry negotiations.

Until last month huyu jama hakujuwa haya yote,when he found out he fell into depression,stopped going to work and fell ill only to die less than a month later .The lady was very involved in burial arrangements and the guy was buried on Friday.Sasa leo Monday amelete card ya harusi which is in a month's time.
Wakuu mnaonaje should I attend harusi kama hii ?
 
Kyabushaija huwa aendi kwenye the so called HARUSI - It purely a wastage of resources (MONEY and TIME)!
 
kweli dada Preciousdoe....nilikuwa nina hamu sana ya kuchangia lakini sijaelewa......ni nani amekufa sasa?
 
Ni uamuzi wako mwisho wa siku lakini kwa kifupi sidhani kama ndoa yao in baraka sana kutokana hicho kitendo alichomfanyia huyo mwenzie. Lakini kutoshiriki shughuli ya hivyo kwa mtazamo wangu ni busara zaidi.
 
Dah! Mapenzi kizungumkuti.
Kuna jamaa yeye aliombwa afunge ndoa feki. Alishindwa kuvumilia baada ya harusi akajipiga risasi sababu ya mambo hayo hayo ya kuchanganya madesa.
Nakushauri uende kwasababu huyo dada ndie anaekuhusu.
Siku zote ukitaka kuishi vizuri na watu fikiria mazuri yao na sio mabaya yao.
Aliyoyafanya mwachie yeye, mungu ndie atamuhukumu.
 
After all jamaa kesha nde so wewe ibuka tu harusini though i thing nafsi yako inakusuta but as long as hukushiriki huu ushirikina yaani ulikuwa hujui just attend the wedding
 
Dah,
Haya mabalaa mengine haya,
Boraga ukaaka likizo tuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!

Duuu hapa moyo wako zaidi dada!!!
 
kweli dada Preciousdoe....nilikuwa nina hamu sana ya kuchangia lakini sijaelewa......ni nani amekufa sasa?

kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....
 
Kidogooo naanza kuelewa sasa.

Aende tu kwenye hiyo harusi kama ndo hivyo
 
the guy everyone thought was her boyfriend ndiye aliye fariki mwezi mmoja after kujua his galfriend of 7 years is getting married
 
kafa kijana....aliyekuwa anadhani ni yeye ndo anapendwa..kuja kustuka dada anaolewa na mtu mwingine kabisa......akapata kitu kinaitwa eutanesia death ( kifo cha huruma).....huyu mleta mada alikuwa anaishi na huyo dada na alikuwa hajmwambia kuwa ana mtu mwingine ambaye wamepanga kufunga ndo yeye alikuwa anamjua marehemu huyu...sasa hapa anauliza aende harusini maana kadi kaletewa....
umeelewa sasa si ndiyo?....

asante mpendwa......kizungu bana saa ingine kigumu haswa kwa sisi tuliozaliwa tukajikuta tunaongea lugha ya mama.....sasa nimeelewa
 
Dah huyo dada kiboko.......Aisee sasa itakuweje hapo, ukiacha kwenda hutaeleweka kwa mfadhili wako na ukienda nafsi inakusuta kwa roho iliyopotea kaaaaaazi.
My take:
Kama hujisikii kwenda usiende, na kuwa honest mweleze huyo rafiki yako jinsi unavyojisikia.....Maisha ni mafupi sana kuishi kwa ajili ya kuridhisha wengine......
 
Huyo msichana anayetaka kuolewa alikuwa anatembea na jamaa (aliyekufa kwa depression ya kuachwa na huyo demu anayeolewa leo).
kweli dada Preciousdoe....nilikuwa nina hamu sana ya kuchangia lakini sijaelewa......ni nani amekufa sasa?
 
the guy everyone thought was her boyfriend ndiye aliye fariki mwezi mmoja after kujua his galfriend of 7 years is getting married

ayaaaaa.........no....but lazima kuna sababu.......lakini hata wao wanaume si wanatufanyiaga hivyo hivyo bana......mpaka tunajitoa uhai....kwa hiyo si mbaya sana we nenda kale mikuku huko kwa raha zako
 
Nenda kwenye harusi, huwezi jua tatizo lilikua nini, labda jamaa alikua hatangazi ndoa , yeye yupo yupo tuu , namdada kaona atazeeka kwakuitwa kilas iku a girlfriend au huyo dada alikua anataka kumwacxha jamaa kila siku na jamaa alikua king'ang'anizi ,akiamini hawezi achwa.

Kula mnuso huo, haki anaijau Mungu tuu , wewe tenda mema, tena hapo utakua umetenda mema zaidi kwa sababu utahudhuria ndoa halila ya utakatifu inayo kubalika na Mungu , zaidi ya huyo rafiki yako aliye kua anaishia na demu kwenye dhambi kwa kuishi kindoa bila ndoa.
 
ayaaaaa.........no....but lazima kuna sababu.......lakini hata wao wanaume si wanatufanyiaga hivyo hivyo bana......mpaka tunajitoa uhai....kwa hiyo si mbaya sana we nenda kale mikuku huko kwa raha zako

Preta?
 
the guy everyone thought was her boyfriend ndiye aliye fariki mwezi mmoja after kujua his galfriend of 7 years is getting married

na wewe unachanganya mno kidhungu du hadi maana halisi inakosekana kabisa.hapo red hapo ndio nini??
 
Back
Top Bottom