PRECIOUSDOE
Senior Member
- Feb 3, 2009
- 114
- 12
Wakuu baada ya muda mrefu nimerudi Jamii forums na leo tena nataka munisaidie na mawazo kuhusu yule dada ambaye niliwaeleza kwamba alikuwa ana double deal kisha ilipowadia wakati wa kuolewa aliyekuwa spare akafariki mwezi mmoja kabla ya harusi ya huyu dada.Huyu dada sasa ameolewa na amerudi back to normal life.Mumewa anafanya kazi mbali naye tena aliyokuwa akitembea nao walikuwa close sana na marehemu na wamemhepa.Amekuwa lonely sana na ameanza kujaribu kuwa close na mimi lakini mimi mambo yale yaliotokea hapo awali bado huwa yana nikera.Najipata namhepa because kusema kweli sidhani ni mtu mwaminifu wa kuwa rafiki wa karibu ingawaje wakati mmoja alinisaidia na makao kwa muda wa mwezi mmoja.Tafadhali nipe advice nita relate vipi na huyu dada kwa sababu am not comfortable kuwa close naye hata kama ananikaribia sana kutokana na upweke anaoupitia sasa.