Recent content by prado

  1. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Weekend Story: YANGA! (Naipenda yanga shabiki wa damu)

    Wanaume bwana,kuwajaribu wenzenu ni sawa,ila mkijaribiwa nyie sasa.....
  2. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuna baadhi ya wanawake wana nuksi?

    Sio wanawake pekee,hata wanaume pia....Nina ushuhuda kabisa.
  3. prado

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya J4 apiga wawili kwa risasi

    Atakuwa yule wa mza
  4. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wanaozaa hovyo hovyo nje ya ndoa wadhibitiwe mara moja

    Mtoa mada Kiazi kabisa,mxiewwww
  5. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na wanaume naombeni majibu

    Hahaha......fafanua basi
  6. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    Dawa yao wakiomba no unawambia walete simu na line yake.....
  7. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hana mapenzi na mimi, naona kama namlazimisha

    Ila aokoke kwanza,yani atakuwa transformed kila kitu hadi moyo na akili,ataweza hata kupanga maisha na kufanya vizuri ktk masomo,yani atashine sana.....God will sustain her heart!!
  8. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda lakini hana mapenzi na mimi, naona kama namlazimisha

    Teh teh teh teh,mekupenda bureeee
  9. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simtaki ila namtaka

    Hahaha,nljifunza upendo na principle zake through bible kwamba love is patience,is kind,conquers all,love never end matokeo yake full uvictim,I wish ningejua love is a game mapema sana
  10. prado

    JamiiForums Tanzania Nimefanikiwa kubadili Kabila

    Teh teh teh .....dah,we noumerr
  11. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simtaki ila namtaka

    Ni kweli life must go on,ila ktk maisha hata uwe na wangapi yupo ambae huwezi kumsahau.... My friend had a girlfriend chuoni,alimfanyia vituko sana,alimliza sana but hakuacha kumpenda iliposhindikana kbsa alimwacha,akaoa akazaa na watoto ila hadi leo hajamsahau,anakiri bdo hajapenda kama yule...
  12. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simtaki ila namtaka

    Ulishawahi kupenda?!
  13. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simtaki ila namtaka

    Unaanzaje kumsahau mtu kama alishatawala akili yako sana?! Mfano kila wakati ulimfikiria,in most of ur plans he was there,kama inawezekana uweke mbinu kwa faida ya wengine pia?! I once throught abt astral projection but hii inahusu mind,kama mtu alikuwa moyoni unamtoaje sasa huko moyoni?!
  14. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I hate this

    Hahahaha,u r right dear but mapenzi ni kitu kingine....
  15. prado

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I hate this

    Hahaha,zamani alishanambia hajanipendea uzuri....anyway,sijisifii wala siringi ila natosha,namshukuru Mungu
Back
Top Bottom