Hivi ni kweli kuna baadhi ya wanawake wana nuksi?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
Nimesikia mara kadhaa kuwa kuna baadhi ya wanawake ukiwa na mahusiano nao kimapenzi unaweza kuandamwa na mabalaa mbalimbali kama kufilisika,kufukuzwa kazi,kufungwa nk. Je kuna ukweli wowote katika hili?
 
nimesikia mara kadhaa kuwa kuna baadhi ya wanawake ukiwa na mahusiano nao kimapenzi unaweza kuandamwa na mabalaa mbalimbali kama kufilisika,kufukuzwa kazi,kufungwa nk.je kuna ukweli wowote katika hili?
Sijui kwa kweli.
 
Back
Top Bottom