Recent content by pR0T0z0A

  1. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Ukigusa nakulamba mkono...

    kweli ukigusa anakulamba mkono......ameona akinywa kwenye glass/kikombe anaweza kukimeza hata kikombe chenyewe......
  2. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Joshua Nasari (MB) na mtarajiwa wake

    no wigi, no make up, no makope ya kubandika wala makucha yale maref.....saf sana....kila la kheri kamanda
  3. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Siku yako imekaaje?

    ahahahaha, safi sana wadau....
  4. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Mwanamke: Dalili kwamba very soon utaisaliti ndoa yako

    nice topic, imenigusa moja kwa moja, ngoja tufanye 'make up'
  5. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Najuta kuiharibu dhamiri yangu, natamani niwe kama zamani niwe na hofu kabla ya kutenda

    pole sana, ila una mda wa kutosha kurekebisha yale mabaya na kurud kwenye mstar.....God is Love, atakurejesha kwenye njia yako ya zaman
  6. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sisi wanaume wafupi hatupendwi na wanawake?

    hizo fikra mgando, mfano mdogo ni comedian Kevin Hart, na wengine wengi, ushaur jijengee confidence kila kitu kitaa sawa....
  7. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Bunge la Bajeti: Tarehe 06/05/2015

    siku 52, faida milion 15 na laki 6, biashara ya chap chap hyo.....tanzania zaid ya uijuavyo,
  8. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    kigoma to dsm
  9. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania South Korea's PM offers to resign over ferry disaster: Viongozi wa Tanzania wajifunze uwajibikaji

    kujiuzulu kwa kiongoz inatoka moyon, ni ushujaa kwanza, hapa kwetu, viongoz ni mwendo wa kutoa pole tu na misaada, Mungu Wabariki WTZ
  10. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania unplanned area to planned one...

    je una eneo kubwa la shamba au hata eneo lolote ambalo halijapimwa lakini liwe kubwa, ili tulipime kitaalamu na kulichorea raman za viwanja (town planning drawing) ili iwe faida kwako baada ya kuuza kama shamba uje kuuza kama plots..... kama ndio bas tuwasiliane......asante
  11. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Tuweke ushabiki pembeni, CCM ina mgombea gani anayekubalika zaidi ya Lowassa?

    lowasa ni jembe na nyundo.........hata wenzake wanajua hilo.....
  12. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Kenya Airways wamenunua Dreamliner sita, sisi tunakodi ka ndege ka kwenda mikoani kwa mbwembwe...

    ina maana shirika binafsi (precision air) lina uwezo kuliko shirika la serikali (ATC), huo ni ubunuasi, au kama tumeshindwa tuwape tenda wazee wa usiku "wachawi/wanga" ili waboreshe usafir wao wa "ungo" ili kuongeza ufanisi kwenye usafir wa anga> :A S 13:
  13. pR0T0z0A

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Hodi

    hodi hodi watanganyika, watanzania na sisi :A S embarassed: wengne, habari zenu wazee wa jamvini.....
Back
Top Bottom