Yaliyojiri katika Bunge la Bajeti: Tarehe 06/05/2015

Yaliyojiri katika Bunge la Bajeti: Tarehe 06/05/2015

Hongera zao
lakini nimekubali kuwa Tanzania ni tajiri,wabunge wanalamba posho laki 3 kwa siku,wametoka kulamba posho ktk bunge la katiba na wakimaliza hapa watarudi tena ktk bunge la katiba na kulamba posho ya siku kadhaa.
mungu ni mwema
 
siku 52, faida milion 15 na laki 6, biashara ya chap chap hyo.....tanzania zaid ya uijuavyo,
 
TUESDAY, MAY 06, 2014

PG4A8131.JPG

Spika wa Bunge,Mh. Anne Makinda na watendaji wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wakiimba wimbo wa Taifa kabla ya shughuli za Bunge kuanza leo mei 6, 2014.

Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia Bungeni mjini Dodoma leo Mei 2014.

Mbunge Mpya wa Jimbo la Kalenga,Mh. Godfrey Mgimwa akila kiapo Bungeni mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.

Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akisindikizwa na wabunge wa CCM kuingia kwenye Ukumbu wa Bunge Mjini Dodoma, leo Mei 6, 2014

Mbunge Mpya wa Jimbo la Chalinze,Mh. Ridhiwani Kikwete akila kiapo Bungeni Mjini Dodoma,leo Mei 6, 2014.

Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.

Waziri wa Nchi,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. William Lukuvi akimpongeza Mbunge Mpya wa Chalinze,Ridhiwani Kikwete baada ya kuapishwa, Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6, 2014.

Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiwa Bungeni Mjini Dodoma Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema nchimbi.

Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete na familia wakiwa Bungeni Mjini Dodoma leo Mei 6,2014 wakati mwanae,Ridhiwani Kikwete alipoapishwa . Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma , Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)​

~ Michuzi

Huyu binti wa kati safu ya chini,watatu kutoka kulia na kushoto ni nani au anaitwaje?kajiachia mpaka kashindwa kuficha feelings kwa huyo wa kulia kwake
 
Huyu binti wa kati safu ya chini,watatu kutoka kulia na kushoto ni nani au anaitwaje?kajiachia mpaka kashindwa kuficha feelings kwa huyo wa kulia kwake

Miraji Kikwete, Ally Kikwete, Mke wa Prince, Dr.Nchimbi na Mama Salma
 
Huyu binti wa kati safu ya chini,watatu kutoka kulia na kushoto ni nani au anaitwaje?kajiachia mpaka kashindwa kuficha feelings kwa huyo wa kulia kwake
Mkuu ukisoma hapo chini wameandika hao ni wanafamilia sasa labda dada yao, huyu mbunge mwingine sijui ndugu zake wamekaa wapi hata hawaonekani. Halafu wasingekua wanashika hivyo vitabu vyenye gamba jeusi nahisi kama hutatimisha ulichoapa kwa kutumia vitabu hivyo itakua laana kwenye familia yako anyway ni mtazamo tu.
 
Mkuu ukisoma hapo chini wameandika hao ni wanafamilia sasa labda dada yao
aaaah nimesoma mara mbili sijaona,hata we ukiangalia kuna sura zinazofanana na hiyo?
 
utafanyaje,zaidi ya asilimia 70 ya watanzania hawajielewi,Intarahamwe watajaa sana,watu ubwabwa tu wakiona ubwabwa na nyama moja wanawehuka utafanyaje,wacha wapate somo kwanza.

Hata ccm wako wengi tu ambao huu upuuzi unaofanywa hawaupendi, ndio mana Africa hatuendelei
 
Hata ccm wako wengi tu ambao huu upuuzi unaofanywa hawaupendi, ndio mana Africa hatuendelei
wapo,ila we unajua wanaopenda CCM kwa ajili ya hayo mambo wapo wengi kuliko ambao hawaipendi?
ndo utachoka
 
Najaribu kumfananisha na role model wangu president Khama Ian Khama, wala huu upuuzi hauwezi kufanyika Botswana! Na ndio mana wameendelea
 
Najaribu kumfananisha na role model wangu president Khama Ian Khama, wala huu upuuzi hauwezi kufanyika Botswana! Na ndio mana wameendelea
nashindwa kuwaelewa nyie misukule. kwani hao akina Riz1 wameteuliwa na Kikwete kwenda bungeni kama alivyoteuliwa mbatia? hebu tuheshimu maamuzi ya wanancha bhana. da!
 
PG4A8145.JPG

Lowasa kaitolea macho hiyo kitu hapo, kasahau kama kuna watu wanapiga picha.
 
PG4A8145.JPG

Lowasa kaitolea macho hiyo kitu hapo, kasahau kama kuna watu wanapiga picha.

Hivi MODS huwa mnaangalia vitu gani? KAMA NI HIVI, HEBU ACHIENI KILA KITU WATU 'TUJICHANE' KIKWELIKWELI!
WATU WAKISHUSHA 'KAUTANI' KIDOGO KWA 'MZEE WA MAGUMASHI' MNAONDOA, LAKINI HAYA 'MATUSI YA NGUONI' HAMYAONI!
 
Back
Top Bottom