Taarifa kamili inakuja ! Amefia Muhimbili.
====================
Dar es Salaam. Civic United Front (CUF) member, Ms Hindu Mwenda, who was among eight members picked to fill posts of Special Seats Members of Parliament, has died.
CUF Deputy secretary general, Ms Magdalena Sakaya confirmed that Ms...
Sharti la nne:
Usigeuke kuwa changamoto kwake bali be part of the solution to her/his problems.
Imagine, ofisini kazini kwako kunawaka moto. Bosi mzinguaji wafanyakazi wenzio wazinguaji yaani ni vurugu juu ya vurugu. Unapambana kwa kila hali kuweka hali sawa. Ok achana na hio.
Tazama hii...
Note Bein:
Other things remain constant (ceteris peribus). Mfano suala la usafi kwa wapendao, uaminifu, sex drive ama sexual satisfaction, na kuendelea
Sharti la tatu:
Mchango wako katika kuziba weakness ya mwenzako.
Hakuna mtu aliyekamilika. Watu wengi smart wanajua pahali wana mapungufu makubwa na madogo. Sasa alichofanya Mungu ni kumuumba mwanamme asiyekamilika na mwanamke asiyekamilika pia. Ni kama bolt na nut somehow yaani hamna mtu...
Sharti la pili:
Dhamani yako.
Sikia hii hapa. Unamfahamu Bacary sagna yule mchezaji wa zamani wa Arsenal. Unamjua demu wake? Bacary ni mweusi balaa yaani anatisha jamaa ni kama usiku ni zaidi ya lami kwa weusi. Ila ana demu kisu si mchezo. Mweupe peeee. Nadhani unafahamu ubaguzi wa wazungu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.