Sidhani kama CCM ni chama cha siasa

Sidhani kama CCM ni chama cha siasa

Na pia ndio waliomtuma Lowassa aende cdm kuangalia wanafanyaje?

Opposition washajiharibia sana, unayoyasema utaamini katika kushindwa tu...ila CCM huwa nasema iliishakufa kitambo sana. Tatizo ni upinzani sasa kwa akili yako kuzuiwa siasa unaona ni sababu!???? unazuiwa unakaa kimya kisha unailaumu CCM???..

mi naona upinzani wanataka kuingia ikulu bila hata kupata shida!! will never happen

ndio maana unakuta akili za kushindwashindwa, execuse nyingiii kama hizi
....Tunapokuwa tunaulalamikia upinzani tunamaanisha akina nani hasa? Je kuna watu tumewatuma wafanye hiyo kazi ya upinzani? Kuna mtu anawalipa kwa kazi hiyo? Sisi tunaosema upinzaji umeshajiharibia tunaishi nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo jambo hata mimi linanishangaza, kufanya shughuli za siasa ni haki lipo ki katiba na limeruhusiwa ki sheria, how mtu akuzuie nawe unamsikiliza? Tena mtu mwenyewe ni mwanasiasa mwenzako nae anafanya siasa. Yani upnzani unaogopa hata kutomaswa tomaswa tu.

Kwakweli upnzani ulikua ktk right track pale 2008 hadi 2014. Ile mshike mshike ya hoja zenye nguvu, za akina zitto, mnyika, kafulila, dkt slaa, mbowe, mbatia, John heche, godbelss lema, wenje, Halima mdee, grace tendego, na habibu mnyaa, mtatiro mwesiga baregu, mkumbo kitila, na wengineo, kwakweli hawakukubali kuzuiwa km jambo lipo ki sheria.

Ndio maana tuliona mbilinge mbilinge na polisi lakni pia hawakukaa kimya, walikosoa kwa hoja zenye nguvu kiasi cha kuwavutia vijana wengi na akina mama, kujiunga upnzani. Lkn sasa tangia ameingia huyo lwaiganani sijui mabo yamebalika mno.
 
Kulia lia tu kuhusu ccm hakusaidii,anagalieni na upinzani aina ya viongozi waliopo,hivi kweli tuwapoke ccm nchi tumpe Lowassa?bora nife na ccm tu.
Kwa sasa tunaleta sheria kiongozi kwenye chama cha siasa mwisho mihula miwili tu,kuondoa usultani wa Mbowe na Sefu na Lipumba ili vijana nao wapate uongozi
 
....Tunapokuwa tunaulalamikia upinzani tunamaanisha akina nani hasa? Je kuna watu tumewatuma wafanye hiyo kazi ya upinzani? Kuna mtu anawalipa kwa kazi hiyo? Sisi tunaosema upinzaji umeshajiharibia tunaishi nchi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mtu unnang'ang'ania uenyekiti wa chama cja siasa miaka nenda rudi alafu unauliza swali pumba kama hili? Yaani ule ruzuku zetu ambazo kodi zetu alafu uuluze swali hewa namna hii? Mimi mwananchi wa chini huku naanzaje kuitisha mkutano wa kisiasa kama kiongoz wangu mwenywe ndio muoga kama wewe?
 
MwanaCCM wamewekeza kwenye serikali hivyo ni lazima wahakikishe hakiondolewi madarakani.

mafisadi hayana rangi
 
Mimi pia ni RC lakini nimejiuliza swali moja juzi. Kwamba jaji mkuu wa Kenya David Maraga siyo kiongozi wa dini. Lakini ametenda haki. Je kama ile kesi ingekuwa ni CDM vs CCM na kama CDM ingekuwa ndo NASA na ikaleta ushahidi ule wote kama ilivyofanya NASA, na kama maaskofu wetu kanisa katoliki wange preside hiyo kesi chini ya Pengo, je CDM wangepata haki yao?
Marahaba nasikia ni Mkisii. Kwa Kikisii Maraga ni Kama laana ama kulaani. Pia huyu jamaa ni mu Adventist!
 
Hii awamu ni waoga hatari, sijui woga huu umesababishwa na nini?
 
Kwanza ulishawahi kushuhudia Rais DIKTETA!Kwa taarifa yako JPM angekuwa DIKTETA hata hiyo thread usingeiandika!
Huyu alielekea lakini hizi kelele zinasaidia asiwe. Na nafikiri Kagame ni tatizo

Cairo's
 
Mtu unnang'ang'ania uenyekiti wa chama cja siasa miaka nenda rudi alafu unauliza swali pumba kama hili? Yaani ule ruzuku zetu ambazo kodi zetu alafu uuluze swali hewa namna hii? Mimi mwananchi wa chini huku naanzaje kuitisha mkutano wa kisiasa kama kiongoz wangu mwenywe ndio muoga kama wewe?
....Sasa kama wewe unaamini mwenye chama ni mwenyekiti, na wewe huna na kufanya basi tulia uendelee kunyolewa mpaka unyooke.

Kwa akili yako unategemea huyo mwenyekiti akuambie njoo na wewe uwe mwenyekiti siyo?

My point is no pain no gain, hatutaki kushiriki active politics halafu tunatarajia eti fulani afanye the way we want! Kwa Africa hiyo ni ndoto wether in rulling or opposition parties.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM ni chama tena cha siasa.Labda swali CCM ni siasa sampuli gani?Ina mashiko kiasi gani?Kwanini CCM inadai vyama vya upinzani ni vya msimu?Je bila CCM hakuna Tanzania?
 
Sawa ayatolah subiri luzuku ule, ulale

...Mimi ni mkulima, nalima nawauzia nyie wa mjini,maisha yanasonga kiulaaniiii, hayo mambo ya RUZUKU na siyo LUZUKU, nayasikiaga kwa akina Lipumba na genge lake. Yaani niwe profesa wa uchumi halafu nikagombee ruzuku na akina Sakaya??
 
Mambo yote uliyozungumza hamna hata moja la maana.
 
Back
Top Bottom