Natafuta share partner wa biashara ya mafuta ya alizeti

Joined
Sep 2, 2017
Posts
24
Reaction score
25
Habari,
kama title ijielezavyo mimi najihusisha na ununuaji wa alizeti na kukamua mafuta kisha kuuza mafuta na mashudu kwa bei ya jumla,
Kwa sasa napata changamoto ya mtaji kwa sababu napata oda ya mafuta mengi kuliko kiwango cha mtaji uliopo yaani natakiwa kuandaa dumu za lita 20 ziwe 500+ wakati mtaji haufiki huko
mashine ya kukamua ipo japo sio yangu lakini ipo chini yangu baada ya kupata faida kuna percent yaenda kwa mwenye mashine.,
Hivo basi kwa yeyote mwenye mtaji usiopungua 10 milion na alikua na ndoto ya kufanya biashara lakini hakua na idea this is a good business you can make a profit ambayo inaonekana over 1milion everymonth as a profit.
i know kwa sasa hivi uchumi ulivo hiki ni kiwango kikubwa cha pesa kwa baadhi ya watu especialy vijana ambao ndio kwanza tunaanza kutafuta
 
Kama sijakuelewa vizuri mleta mada...nikitoa 10mil napata 1mil kila mwezi right? Na wewe unapata nini au ngapi out of 10mil niliyoingia kwenye biashara kwa mwezi?
Kuwa muwazi tufanye maamuzi magumu...

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Na gharama (estimate) ya kuzalisha hizo dumu 500 ni kama kiasi gani kwa sasa?
tunazipata dumu mia tano kwa staili mbili tofauti
1. tunanunua alizeti na kukamua mafuta
2.kama nilivoandika nashikilia mashine hivo kuna wateja wanaokuja kukamua mafuta yao na kuuza hapo hapo.
bei huwa inategegemea msimu mfano kwa sasa tunanunua mafuta dumu la lita 20 Tsh 48000 ambayo soon yaenda 49000 na tunayauza kwa 50,000 kwa bei ya jumla mteja akifuata hadi ofisini hivo waweza piga hesabu hapo ni shilingi ngapi lakini huwa pesa nyingine anatoa kabla kwa ajili ya kuandaliwa mzigo hivo si lazima ukawa na mtaji wote wa dumu mia tano
 
pia twapata faida katika mashudu
 
Kama sijakuelewa vizuri mleta mada...nikitoa 10mil napata 1mil kila mwezi right? Na wewe unapata nini au ngapi out of 10mil niliyoingia kwenye biashara kwa mwezi?
Kuwa muwazi tufanye maamuzi magumu...

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
faida tunagawana kutokana na kiwango cha pesa ulichoweka yaani tunaangalia faida ni kiasi gani iliopatikana then we are calculating kutokana na kila mtaji wa mtu..hapo vp mkemia
 
tunazipata dumu mia tano kwa staili mbili tofauti
1. tunanunua alizeti na kukamua mafuta
2.kama nilivoandika nashikilia mashine hivo kuna wateja wanaokuja kukamua mafuta yao na kuuza hapo hapo.
bei huwa inategegemea msimu mfano kwa sasa tunanunua mafuta dumu la lita 20 Tsh 48000 ambayo soon yaenda 49000 na tunayauza kwa 50,000 kwa bei ya jumla mteja akifuata hadi ofisini hivo waweza piga hesabu hapo ni shilingi ngapi lakini huwa pesa nyingine anatoa kabla kwa ajili ya kuandaliwa mzigo hivo si lazima ukawa na mtaji wote wa dumu mia tano
Kwa njia ya kununua na kuuza kunapatikana faida sh 1000 kwa dumu moja?
 
ndivo ilivo kwa kipindi hiki ambacho kipo mbioni kupita ambacho mafuta yameshuka...kumbuka faida ya pili inapatikana kwenye kununua na kuuza shudu
 
Habari,
kama title ijielezavyo mimi najihusisha na ununuaji wa alizeti na kukamua mafuta kisha kuuza mafuta na mashudu kwa bei ya jumla,
Kwa sasa napata changamoto ya mtaji kwa sababu napata oda ya mafuta mengi kuliko kiwango cha mtaji uliopo yaani natakiwa kuandaa dumu za lita 20 ziwe 500+ wakati mtaji haufiki huko
mashine ya kukamua ipo japo sio yangu lakini ipo chini yangu baada ya kupata faida kuna percent yaenda kwa mwenye mashine.,
Hivo basi kwa yeyote mwenye mtaji usiopungua 10 milion na alikua na ndoto ya kufanya biashara lakini hakua na idea this is a good business you can make a profit ambayo inaonekana over 1milion everymonth as a profit.
i know kwa sasa hivi uchumi ulivo hiki ni kiwango kikubwa cha pesa kwa baadhi ya watu especialy vijana ambao ndio kwanza tunaanza kutafuta
Wewe upo wapi! Na hiyo milion kumi ndio itatoa faida ya milion moja kwa mwezi au hebu fafanua hapo kwanza ndio tuendelee.
 
Unawazo zuri tatizo hujajua maana ya patner ,patner ni mmiliki mwenza lazima ajue kila kitu sio tu eti mara mashine nimeshika mashudu sijui kilienda nooo hakuna mtu makini ataekuelewa
 
Back
Top Bottom