First lady Malawi ndani ya Sare ya Shule na begi akihamasisha Elimu kwa watoto wa kike

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Pictorial focus of the Fundraising Fashion Show hosted by Her Excellency Dr. Gertrude Mutharika at the Kamuzu Palace in Lilongwe on Saturday with a theme of Girl Child Education.

IMG_3611.JPG

IMG_3612.JPG

IMG_3613.JPG

Gertrude Mutharika
 
Zambia, Malawi na Zimbabwe kuhusu wanawake warembo huko nadra mno. Ingawa wanamafiga mazuri tu kama Wanyakusa, lakini urembo ni zero. Nimekaa hizo nchi, nilikoenjoy ni Msumbiji, Swaziland na South Africa. Tanzania wadada wetu warembo sana, ingawa kwa mizinga wanaweza kushika namba moko.
 
Wanawake wa Botswana ni wazuri sana ingawa ni maharage ya Mbeya
 
Zambia, Malawi na Zimbabwe kuhusu wanawake warembo huko nadra mno. Ingawa wanamafiga mazuri tu kama Wanyakusa, lakini urembo ni zero. Nimekaa hizo nchi, nilikoenjoy ni Msumbiji, Swaziland na South Africa. Tanzania wadada wetu warembo sana, ingawa kwa mizinga wanaweza kushika namba moko.
vipi uganda, maana wote wanaokanyaga kampala stori kuu huwa ni watoto wakike wa hapo.
 
Uganda wengi wao ni kama unavyowaona Wahaya. Warembo wachache, ila wanamafiga kwelikweli. Kenya ukitaka watoto warembo nenda Kisii. Ila yote kwa yote Tanzania wadada wetu warembo haswa, ila sasa...

dada zetu ni warembo kweli ila kwa invoice wanaongoza africa.... zile nimepungukiwa elfu 50 mara kodi mara mama anaumwaaa... utakimbia mwenyewe
 
Kuna siku nitaishtaki serikali kwa kuniharibia saikolojia. Nilivo kaona aka kadada cjui kwa nn nmefikiria miaka30 jela! Dah
 
Back
Top Bottom