Wapendwa; naomba niwaulize, hawa Viettel ni kampuni ya simu tu ama wanafanya nini?
Halafu mishahara yao ikoje?
Halafu maswali ya interview kuhusu distribution & customer care ni kama yapi?
Asanteni.
zanzibar najua ndo wepesi wa kutoa kazi jamani tena ya procurement jaribu haya mashirika ya serikalini utapata ndugu yangu mm mwenyewe nina hiyo shahada hiyo hiyo lakini cjapata ni muda sana
hapana unaiweka kwenye cover letter yako kama umeambiwa utume cover letter kama hamna cover letter tuma kwenye karatasi yake pembeni tu usijumlishe kwenye cv
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.