Kwaiyo katika kipindi cha miaka 3 kila mwaka wakachukua mtu mmoja mmoja baada ya miaka 3 kuisha wana expire watu 97 , wanatangaza tena kazi nafasi mtu mmoja anatakiwa watu wanatuma maombi wahitimu wapya pamoja na wale wahitimu wa zamani walio expire 97 wanachukua tena mtu mmoja 100 wanabakia...
Kama saili yako inahusisha usaili wa practical, matokeo ya mwisho wanachukua matokeo ya oral jumlisha matokeo ya practical wanagawa kwa 2 kupata average kwaiyo kama ulifanya vizuri practical inaweza kukubeba .
Hii DATABANK lakini wenye ajira za kudonoa donoa nafasi moja moja wengi mwaka utakuwa unapinduka wanakutana na your Databank has expired unarudi tena kule kule ulikotoka .
Na mimi nikusaidie kujiuliza hivi kwa maelezo ya huyo chalii anasema waliteswa na askari walio kuwa lindo la geti la kuingia Ngorongoro kwa akili ya haraka haraka ni jangiri gani anaweza kupita getini tena wakiwa na pikipiki na muda wote hapo getini kuna askari , tufanye basi kweli ni majangiri...
kwaiyo nani kasababisha hao vijana kibao kutokuwa na kazi kwaiyo kwenu ni sifa vijana kutokuwa na kazi, mpaka pale wengine wakigoma ndiyo mnawapa kazi .
Kuna huyo na kuna Tlaatlaah anaetumia emoj ya monkey na Tlaatlaah anaetumia emoji ya kichwa cha mtu mzungu hao ni watu wawili tofauti na hizo ndiyo signature zao za kupokelea posho kama utambuzi kwa boss wao
Bora hao USA anaenyonya raslimali za nchi nyingine kwa manufaa ya wananchi wake ,ila huku kwetu wao wapo tayari kuua wananchi wao ili watu wachache wabaki kufaidika peke yao siyo kufaidika kama nchi .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.