Recent content by POSHI MWAKAFILA

  1. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Kwani majeshi ya umoja wa nchi za Sadc hazina ma sniper?? Ni kuwalenfa na kufyeka vichwa viongozi wao tuu
  2. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Licha ya vitisho, Waasi wa M23 wamegoma kusitisha mapigano leo

    Njia ni moja tuu wakamate familia zao zote baba na mama zao wake na watoto zao na kuwaweka pamoja ili nao waonje machungu pengine watakuwa na adabu
  3. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Precision Air: Ripoti yabaini hakuna Control Tower, Boti za Uokozi zilichelewa, Mhudumu na Abiria ndio waliofungua mlango

    Binafsi nimesoma maswala ya aviation ndege huwez kufungua mlango ukiwa nje. Afu pia kasia ambalo ni jiti haliwezi kuvunja mlango wa ndege ukafunguka swali ni je kama majaliwa alifungua mlango wa ndege je huyo muhudumu ameiongopea bodi ya uchunguzi kwamba yey ndo alie fungua mlango na kuuzuia...
  4. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake watano kwa kujihusisha na usafirishaji wa wahamiaji haramu

    Saivi kila sehemu kuna vyanzo vya usalama wa taifa so ukifanya baya mwenzako anakuripoti na mnakamatwa wote mwisho wa picha yeye anaachiwa huru nyie mnahukumiwa..msicheze na vyombo vya dola
  5. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kumrithi Kassim Majaliwa endapo akiachia nafasi yake?

    Bashe mlevi sana hawez pata nilidhan utasema bashungwa
  6. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Sherehe za kupokea matokeo ya sensa zimetumika Billion 6

    Na bado kaunda kikosi kazi cha kuchunguza nishati safi ya kupikia
  7. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkamba leo kwa mkao huu nimeamini kuwa wewe una dharau na umelelewa vibaya

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  8. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania DAR: DART kuondoa tiketi vituo vya Mwendokasi, malipo ya kadi kurejea

    Mradi amechukuwa zabuni mwarabu
  9. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania SIMIYU: Levinus Kidanabi Jela miaka saba na faini mil 15 kwa kumkashifu Rais Samia

    Eeeeh mungu tukumbushe kuwa haya ni maisha tuu na siyo ya kudumu
  10. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Rais wa Msumbiji atoa msamaha kwa Magaidi 25

    Hivi amewaza nini kuwasamehe hao magaidi anategemea atapata sifa? Ngoja wamfanyie ambush
  11. POSHI MWAKAFILA

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuosha maiti hatua kwa hatua

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃
Back
Top Bottom