Recent content by Poseidone

  1. P

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Nimekuelewa hapo mkuu,Mimi pia wakati Niko mdogo nilikuwa sipendi kabisa ugali Ila saizi ugali nyamachoma ni balaa sana aisee(mdudu)
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nina miaka mitano sijala UGALI

    Wali, tambi na ugali ni vile vile tu mkuu..hapo hujaruka kitu
  3. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimewachukia sana wanaume mnisamehe

    Aisee sisi wanaume sometimes tunazingua sana aisee. Pole sana mkuu,amini yote yatapita
  4. P

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa majini na mambo niliyoshuhudia na kujifunza kwao

    Huyu ni Mimi kabisaa aisee
  5. P

    JamiiForums Tanzania Kama kuna swali lolote kuhusu astronomia, uliza

    Hapa nimetoka kwenye beer sina usingizi kabisa lets talk about parallel universe
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

    PC games unazo??
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mikopo maalum kwa wafanyabiashara

    Hawa jamaa nao wanachukua mkopo bank ili kuja kukukooesha wewe,so lazima riba yao ipae sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la hii kodi linawafaa TRA?

    Daaah
  9. P

    JamiiForums Tanzania Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Kuna dawa ya binadamu ya mifupa ni kiboko,niliwapa nimekuta panya kibao wamekufa.. mpaka leo hakuna tena panya
  10. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kiume umri kuanzia miaka 30-37

    Karibu pm,Niko hapa rafiki yako
  11. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada zangu omba yasikukute haya

    S asa mkuu Mimi nimekuelewa vizuri tu,hebu toa ushauri sasa. Mfano huyo mtu ameanza kuumwa ndo akaenda kupima,anatakiwa afanye nini if asipoenda kupima?
Back
Top Bottom