Recent content by Poozy

  1. P

    Kwa hili diamond ni noma

    Kwa Tanzania nimeshakataga tamaa kwa sasa nani atamkamata huyu mshikaji
  2. P

    Diamond azungumzia picha ya Zari akipigwa denda na dume jingine

    Lkn hii picha niliona kitambo sana kabla mond ajachukua huo mzigo
  3. P

    Diamond akabidhiwa Bendera na waziri Nape kuelekea ufunguzi wa Afcon2017

    Huyu Diamond kuhusu issue za Africa naona imeshakuwa kawaida ninacho subiri ukurasa wa yeye na wanyamwezi ufunguke kwakuwa ameshamaliza Africa ahsante Chibu
  4. P

    Kiba kuja na tour ya dunia nzima

    Wasikose ku post show tu ndiyo tunacho subiri
  5. P

    Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Hizi ishu Nay asiongee sana mwisho wa siku sisi ndiyo majaji nani kati ya hao ana influence watu habari za biashara sisi hazituhusu kama fans waki Tanzania tunapima nani anakonga nyoyo na matokeo ya ujaji wetu sisi kama fans utaona mmoja anaweza kujaza kiwanja mwingine hawezi ni ishu tu...
  6. P

    Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Nilishawahi kuulizwa kati ya Christian Bella na Koffee Olomide nani mwenye sauti nzuri nikasema Bella nikaulizwa tena kati ya hao nani bora zaidi ya mwenzake nikasema Koffee kwa kuanzia hapo kuna kitu nilijifunza kuwa kweli muziki ni package haiitaji tu kuwa na sauti kama Bella kumbe unatakiwa...
  7. P

    Nay wa Mitego: Japo Diamond ni mshikaji wangu ila kimuziki hamfikii ubora Ali Kiba

    Kusema huyu mfanya biashara na huyu ni msanii vichekesho mwisho wa siku tunapima mafanikio ya hiyo biashara yako hata hao wanamziki wakubwa kama Koffee Olomide ni mfanya biashara ktk muziki huko unyamwezini ndiyo kabisaaaaaaa wacha Diamond apige hiyo biashara huku akiwafungulia njia hao wanamziki
  8. P

    Darassa afunguka kuhusu kumponda diamond kwenye wimbo wake...sio simba sio chui sio mamba

    Naamini kabisa hizi zooote ni njia za kumtafutia Diamond mshindani wake halisi ndiyo maana wasanii wengi wanalishwa maneno
  9. P

    RayVanny: Nitafanya Kolabo na Ali Kiba

    Sio mbaya fanya nae umbust kidogo maana ile ya Dom imenistua kidogo
  10. P

    Video: Mashabiki wadai pesa zao baada ya alikiba kushindwa kufanya show Dodoma

    Kama haamini muda wake umekwisha basi mazingira yatamuaminisha
  11. P

    Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

    Mi ningekuwa Kiba kilimo cha matikiti kinanihusu
  12. P

    Collabo za Diamond na Rick Ross na Rihanna zimeiva

    Hapa ndiyo unaona utofauti wa Diamond na wasanii wengine wa Bongo ahsante Chibu dunia inafunguka sasa huku Africa koote ilikuwa njia
  13. P

    Ali Kiba: Dully Sykes ni baba yangu kwenye muziki, kanitoa mbali sana

    Huyu kidogo anaweza kujiita king
  14. P

    Kwetu ya Rayvany yaiburuza Aje ya alikiba nchini Kenya

    Kiba nikimwangalia vizuri debe tu lina pigwa saana lkn ni kawaida na ndiyo mana hukuti hata wimbo wake hata mmoja Ku dominate Africa
  15. P

    Ushauri wa bure kwa Rich Mavoko

    Kwa huu wimbo wa kokoro muje tena kuandika Uzi mwingine wa kuchukua tuzo hizo zingine amepiga sana wacha afanye business tukutane kwenye mafanikio
Back
Top Bottom