Vodacom wasafi festival yaandika historia mpya mjini Iringa

Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wenye kujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
 
Hajaziona huuyo mtumieni!!!
f68211d6e917605d06a6c848bd6bfb6a.jpg
 
Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wenye kujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
Kojoa ulale
 
Anajua siku mbili tu yaani 24th na 25th anaweza kupiga pesa ngapi?
 
Hivi jamani kweli wewe utaingia kuangalia show wakati hakuna kipya ni almost kila show the same na hapa siongelei Diomond ni mpaka kina Kiba na wengine kwa ujumla wasanii wote hawana kipya na hii naita boom ila watu watachoka. Watu wanaingia ushamba tu hivi mmeona hata audiance yao mpaka Fiesta yaani watu wenye kujuwa miziki wanaenda kwa kualikwa tu kibiashara. Mimi binafsi siwezi kuingia kuangalia na ni wote tu mpaka siku nione wanapiga real live music. Niliwahi kumuona Shaggy wakati kaja D. Jubilee thats what we call live music maana kama unsikiliza CD.
Mkuu mpinzani wako akikushinda msifie
 
Angekuja Huyo Shaggy Hata Akakohoa Tu Ungemsifu - Kawaida Yenu Cha Marekani Ni Kizuri Siku Zote Na Cha Kwenu Ni Kibovu Kila Siku
 
Back
Top Bottom