Recent content by pooh

  1. pooh

    JamiiForums Tanzania wanaume wa 21st century

    huyo mume ni kauzu hatari lol
  2. pooh

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa udongo kwa kinamama

    hahaaaaaa uwiii hatari lakini salama
  3. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wanaume wenye hekima

    hayo ni mawazo hasi kaka mtto kwa na mashine ndogo au kubwa ni maumbile ya mtu tu kaka mimi wangu wa kwanza nimemtairi ana siku 23 now ana miaka 5 na asubuhi akiamka kitu kimekuwa, mdogo nilimtairi ana siku 17 now ana miaka 3 kasoro na yuko sawa.. kuna mijitu ilitahirwa ishabalehe na wana...
  4. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na umbea ni tishio makazini

    miss chagga kwenye media kuna umbea mnooo tena media zote sio za newspaper wala redio wala tv ni majungu hatari
  5. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tembea uone au usikie mengi,,wanawake wenye kidevu cha yai?!

    mmmg hatari
  6. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uswazi na misosi!

    ukimlea kiyai yai dada atamfundisha tu. wangu anamiaka 4 dada keshanisaidia kumfundisha kunawa akijisaidia yeye dada anamwagia maji ananawa mwenyewe tena na sabuni
  7. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uswazi na misosi!

    mimi nimekumbuka ile kunawa wa mwisho ukiwa mdogo na hutakiwi kuacha kula na kuondoka kabda ya wakubwa hahahahaaaa
  8. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya michepuko

    lakini wote wabaya ila mbaya zaidi ni mwanaume mimi nadhani kama mke na mume mmeshindwana ni bora kuachana kuliko kutafuta matatizo na mpaka mkewe kufikia kufanya haya pingine amefanyiwa maudhi mengi mno au hata mchepuko ulikuwa ukitamba. na nyie wanaume mkiwa nyumba ndogo usimdiscuss mkeo mara...
  9. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matokeo ya michepuko

    ndio akome kuliko kuiba borA akuoe mke wa pili na kama ni mkristo jiondoe mapema watu wanamahasiraa
  10. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nyumba ndogo kufanyiwa mambo makubwa ni matokeo ya wake halali kutokuwa na ndoto, wala ambition!

    lara 1 we ni kiboko unatuchekesha na tunajifunza pia keep it up darling::thumbup:
  11. pooh

    JamiiForums Tanzania Chezea chagga people

    hahahaaaa huyo kweli ni noma
  12. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito wa kwaresma vijana wa leo ni kizazi cha nyoka! tabia mbovu mbovu zinatumaliza kiuchumi

    lara 1 dAily nakupenda mum asante kwa kukumbusha mpenzi nina bro wangu huyo ni mnoko hatari yeye ni mhasibu wenzake walipanga wapige yeye akagoma wenzie wakazichota kiliposanuka wote wakafukuzwa kazi akakosa kotekote.
  13. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wito wa kwaresma vijana wa leo ni kizazi cha nyoka! tabia mbovu mbovu zinatumaliza kiuchumi

    nimeipenda lara asante kwa kutukumbusha kuna watu hawajui kuishi na watu kabisaa.. kuna ndugu yangu mnoko alikuwa muhasibu kwenye kampuni flan wenzake wakapanga wapige hela kaka angu mie akasema hataki wenzie wakazipiga kiliposanuka wote wakafukuzwa yeye kakosa mwana na maji ya moto...
  14. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hongera kwa kujifungua mtoto wa kike Farkhina!

    wewe acha ujinga mzazi yoyote anastahili kutunzwa na kupongenzwa haijalishi kajifungua mke au mume.. hongera Farkhina Allah akupe nguvu Inshaalah
  15. pooh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kizazi cha wanaume wahongaji chapotea taratibu, kizazi cha wanaume bahili chashika chati kwa Kasi!

    lara umetisha mama napenda thread zako kiukwelii
Back
Top Bottom