Chezea chagga people

Chezea chagga people

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
51,072
Reaction score
72,464
Mchaga mmoja aliangukia mbele ya geti la NMB watu wakaja wakasema mmwagieni maji ili azinduke
Mchaga kusikia hivyo akawaambia ningetaka majii ningeangukia DAWASCO nimwagien pesa banaaa!!!!!!!!!!!!
 
Hah hah. Kwenye harusi wakicheza lazima washikane mikono.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom