nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,685
mmmh! Hapo sitaelewa vizr ila tukikaa chumban nitaelewa na kushika vizr
tutakaa wangapi sasa chumbani? umbea wanoga mkiwa wengi...
mmmh! Hapo sitaelewa vizr ila tukikaa chumban nitaelewa na kushika vizr
Asante kwa kunifahamisha au naweza sema kwa kutufahamisha, ishakuwa janga mkuu
tutakaa wangapi sasa chumbani? umbea wanoga mkiwa wengi...
mmmh ofisi gani hizo wana mda wa umbea aisee? walete jf tupige umbea
hatari sanaUmbea Sabuni Ya Mtima
miss chagga kwenye media kuna umbea mnooo tena media zote sio za newspaper wala redio wala tv ni majungu hatari