Recent content by Ponjoro La Kizimkazi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Jana akiingia Bungeni akiwa sambamba na Didier Drogba alionekana anatembea kwa shida sana

    Huyo kaanza kupasuliwa mnduku zamani sana, sasa hapo usikute Drogba nae alipasua usiku wa jana yake
  2. P

    JamiiForums Tanzania Wanne mbaroni kuhusiana na kesi ya James Temba

    Mkuu jicho lako la tatu si ni mnduku huo😀
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tunateleza na VPN sasa hapa JF

    Kalombwe mbwa wewe
  4. P

    JamiiForums Tanzania Tunateleza na VPN sasa hapa JF

    Huyu Jabiri wa TCRA ni mjinga mkubwa sana, mata.core yake
  5. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    TCRA imekuwa kama kikundi cha UVCCM. Inabidi ifumuliwe na kusukwa upya. Hatuwezi kuwa regulated na watu walio empty kichwani. TEHAMA ni kitu sensitive sana kwa karne hii.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Utampelekea nani huo utopolo? Kama majitu mpaka leo yanaamini kuzima Youtube eti kisa mtu anawasema. Sasa videos zinarekodiwa na zitakuwa available hata baada ya yeye kumaliza kuongea. Yani hawa watu finyu sana. Hawawazi mbali kabisa. Na tena ukiblock hivi ndo unawafanya na wengine ambao hata...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Kwa kweli inasikitisha sana
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Sasa wewe unadhani wao wana akili? Maana hata kama hakuna heshima. Any reasonable person, hawezi block YouTube nzima eti kisa Polepole.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Hawa watu ni shida sana. Shida kabisa. Sasa unajiuliza rais anampostia nani huko wakati wananchi wako blocked? Kutumia vpn haitakiwi kuwa a way of life. Sababu za kufungia mitandao wanazotoaga huwa ni upuuzi mtupu. Sasa kama leo mimi wamenikosesha darasa, wamenipotezea muda na inabidi nilirudie...
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Nina mashaka sana na uwezo wao wa kureason vitu
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ifike mahali serikali ya Tanzania na hasa TCRA iwaheshimu watanzania

    Wakuu habari za muda huu? Naandika hapa nikiwa nimefura kupitiliza. Imetosha sasa, hii serikali inabidi ifike mahali iheshimu raia. Haiwezekani watu wawe wanajizimia zimia tu mitandao wanapojisikia. Watu tumejiajiri huko YouTube, na leo jioni hii nilikuwa na darasa (huwa natrain watu mbali...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal awe muangalifu Sana na chuki za wazungu

    Sauh'waah????? unamaanisha sawa? Mkuu hawakubandui kweli?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal awe muangalifu Sana na chuki za wazungu

    Kwanini huu ushauri usimfikishie mwenyewe Yamal? Kuliko kuja kuandika humu
Back
Top Bottom