Tunateleza na VPN sasa hapa JF

Tunateleza na VPN sasa hapa JF

1738088200332.jpg
 
Unajua wakati hii taarifa inatoka VPN yangu huwa connected muda mwingi kwa sababu ya matumizi ya X (twitter)

Nikaona nateleza tu JF sikuelewa

Nikajaribu kuizima VPN na kweli JF haikufunguka

Kwa sasa nikiwa Tanzania VPN ni ON masaa 24/7 kwa ajili ya X na JF
Tangu kipindi cha jiwe sijawahi kosa Vpn mimi tena nalipia kabisaa yaani
 
Unajua wakati hii taarifa inatoka VPN yangu huwa connected muda mwingi kwa sababu ya matumizi ya X (twitter)

Nikaona nateleza tu JF sikuelewa

Nikajaribu kuizima VPN na kweli JF haikufunguka

Kwa sasa nikiwa Tanzania VPN ni ON masaa 24/7 kwa ajili ya X na JF
Ikiwa ON inasaidia nini? inaleta magruzi gani hii VPN ikiwa On? huu ukeybord worrior ndio some time unawaleta shida wakina Mello.
 
Back
Top Bottom