issue hapa ni kuboresha maisha ya watanzania na kuimarisha uchumi, sio kujaribu kuwaziba watu midomo kwa kisingizio cha uvunjifu wa amani. Walishasema watanzania wasahaulifu, wataichagua tu CCM 2015 , mbona wanahofu sasa? Waliviita vyama vya upinzani, vyama vya msimu , vipi msimu bado haujaisha?