babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,019
- 17,664
ni kweli tumepitia,halafu sometime wazazi wanakupa lindoo kuuubwa yaani kulibeba mpaka ufike home shughuli,halafu nakumbuka kipindi hicho wenye mabomba ya maji walikua wanajiona keki kweli kweli yaani.preta umekuja kivingine.:A S crown-1:wengi tumepita huko kwa hiyo tunaelewa hali halisi ilivyo.....safi sana
he he sometime bomba la kisima la ku pump soo tupu.Duu! mkuu umenikimbusha mbali enzi hizo ukitoka skuli unaambiwa ukachote maji kisimani takribani kilomita tatu hivi, safi sana nakumbuka zamaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
wengi tumepita huko kwa hiyo tunaelewa hali halisi ilivyo.....safi sana
Tena afadhali huyu. Mi mwenzenu nikiwa na umri wa huyu dogo nilikuwa nabebeshwa mizega-mizega kabisa ya madumu ya maji - mwendo wa km 3. Ilikuwa inabidi niende kwa mwendo wa mbwa (nikikimbia kwa hatua ndogondogo za kimizega-zega wakati mwingine huku nikiimba nyimbo za kikwetu). Dah, nimekumbuka mbali hakika!
aaah jamani msinikumbushe,ulikua ukitoka shule unapewa msosi halafu unaambiwa ukateke maji.
shule tulikua tunaenda tumebeba vidumu vya maji kama hivi ajili ya kumwagilia bustani na kudekia darasa.
hii ni after,hiyo ya kwenda na ufagio na chelewa kashamaliza,hii ni kama overtime kwa dogo.Dogo amesahau kubeba ufagio wa chelewa.
duuuuhhh shati lina vifungo safi sana...
na wala hajatafuna kola....
na guduria jeupe ... huyu mstaarabu sana
afrodenzi nimeipenda signature yako please i do .... so please do the same.
aaah jamani msinikumbushe,ulikua ukitoka shule unapewa msosi halafu unaambiwa ukateke maji.
shule tulikua tunaenda tumebeba vidumu vya maji kama hivi ajili ya kumwagilia bustani na kudekia darasa.