Recent content by Pond skarter

  1. P

    Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Unakuwa na mawazo km yangu akili yangu pia imegoma kuamini sababu iliyotolewa.
  2. P

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Boss km hutajali tupia na leo mzigo tu boost mitaji maana watu tulikuwa tumekata tamaa juu ya betting wakati huohuo Mambo mengine ya kiuchumi yamesimama, naamini betting tukiwa na nidhamu inaweza kuleta matumaini
  3. P

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mwenye odds za uhakika hata nne humu atupie tutest zari wadau
  4. P

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkuu km hutajali ukichambua leo tupia humu pia angalau tunaoambulia kipigo daily tupate mtaji
  5. P

    Mdada mzuri, tabia za kuku

    Leta mrejesho mkuu nini kilitokea baada ya huyo jamaa kukutana na huyo mrembo
  6. P

    Nafuatwa na ndege kila mahali, hii ina maana gani?

    Vipi kuhusu chunguchungu kuwa wengi Sana huwa wanaashiria Nini mkuu mshana
  7. P

    Nakusudia kumshtaki baba yangu

    Manzile, Mkuu pole Sana kwa hayo ya mzazi wetu. Nikuombe tu huyo Ni mzazi wako hata Kama atakuwa amekukera na kukuumiza kwa kiasi gani. Kumbuka pia kila mafanikio Yana changamoto zake huenda hili nijaribu kwako ili kukufanya uwe imara zaidi. Achana na kumuita mpumbavu huyo mzazi tafuta...
  8. P

    Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

    Mtaalam habari ya Leo!! Naomba kujua ugonjwa wa homa ya ini unatibiwaje na je Kuna Tina ya asili pia inayoweza kutibu ugonjwa huu?
  9. P

    Msaada ndugu zangu, baba hanitaki kwake kisa naipenda CCM

    Mbon kikoozi, Mbona hii thread Ni km siyo ngeni humu jf
  10. P

    Maandiko yanaposema tuishi nao kwa akili yanamaanisha

    Haya maisha mkuu wakati mwingine nikuvumilia na kusikiliza maana kila uamuzi una ubaya na uzuri wake, wakati mwingine inabidi uangalie upande wenye maslahi mengi kuliko hasara kwa manufaa ya wasiohusika na mgogoro wenu.
  11. P

    Maandiko yanaposema tuishi nao kwa akili yanamaanisha

    Ahsante kwa ushauri off course watoto ndo kigezo kikubwa japo inauma Sana, nimesema na kumwambia pia kuwa ikionekana dalili yoyote ya mambo haya nitachukulia nimefiwa mke so nitawalea wanangu km nimefiwa mke
  12. P

    Maandiko yanaposema tuishi nao kwa akili yanamaanisha

    Mimi ndo linanihusu na usifikirie Ni mwepesi kiasi hicho wakati mwingine si vizuri Sana ku expose ushahidi wa yote niliyoyapata na kupeleleza ktk Jambo hili mpk nokaamua nilivyoamua mkuu so usikimbilie kutukana tu mkubwa
  13. P

    Maandiko yanaposema tuishi nao kwa akili yanamaanisha

    Nimefuatilia michango yote ya waliochangia. Niseme tu kuwa kulaumu kupeleka kwao si sahihi maana huwezi kujua kwanini nilifanya hivyo vibaya Ni km ningekuwa sihudumii au kwenda kumuona Mara kwa mara. Jana kaja na dadake amekiri hizo sms Ni mbaya Sana na alizisahau kwa bahati mbaya. Japo kasema...
Back
Top Bottom