Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 10,098
- 8,205
Pole zako.
Mungu akuhurumie mana kama mama ako mzazi angefanyiwa hivo usingekuepo kenge wew
unajuaje kama yeye sio product wa mahusiano hayo ? you never knowwhat about your self una uhakika na baba akounajuaje kama yeye sio product wa mahusiano hayo ? you never know
Kaka hawa wanawake wazuri huwa wanakuwa wanamatatizo sana nakumbuka nilikuwa na demu fulani ana rafiki yake mmoja mzuri sijawai kukutana na mashine kali sasa Cha ajabu uyo demu mkali aliolewa harusi ilikuwa ya kifahari sana lakini huwezi amini wamefunga ndoa leo kesho ndoa imevunjika yani sijajua hawa wadada warembo huwa wanashida gani, tuwe makini waoajindio mkuu, ila sio siri dogo yuko smart, tatizo kugawa ovyo ovyo
Kaka hawa wanawake wazuri huwa wanakuwa wanamatatizo sana nakumbuka nilikuwa na demu fulani ana rafiki yake mmoja mzuri sijawai kukutana na mashine kali sasa Cha ajabu uyo demu mkali aliolewa harusi ilikuwa ya kifahari sana lakini huwezi amini wamefunga ndoa leo kesho ndoa imevunjika yani sijajua hawa wadada warembo huwa wanashida gani, tuwe makini waoaji

Kizuri kula na mwenzakoNina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha rasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.
Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila niliwahi kumfuma anachati na wanaume wanne na wote wanadai ni wapenzi wake, niliwahi kumuacha nikamtukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika
Sasa juzi, kuna mwamba huwa ananiomba no. za watoto wakali, nikamtumia namba za mademu zangu wote, maana najua stamuoa hata mmoja wao, bora wengne wamekaza kuna mmoja kawa mgumu kabisa, ila sasa huyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha nitatumiwa, nimemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.
Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakayehitaji no. yake nampa inbox ila mpaka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jioni.
Mjumbe si umshauri kaka yetuHapa nimegundua wewe ndio tatizo
Unauza watu Mkuu,,?Nina demu nikiri ni demu wangu, ila jana nmemuacha rasmi japo yeye hajajua yaani atakula mkausho hajawai kuona.
Ni mzuri sana, ana shape kubwa, ni mweupe, yaani shape lipo haswa, ila niliwahi kumfuma anachati na wanaume wanne na wote wanadai ni wapenzi wake, niliwahi kumuacha nikamtukana vibaya mno, ila alilia rafiki yake akaja kuomba msamaha, na demu akakiri kubadilika
Sasa juzi, kuna mwamba huwa ananiomba no. za watoto wakali, nikamtumia namba za mademu zangu wote, maana najua stamuoa hata mmoja wao, bora wengne wamekaza kuna mmoja kawa mgumu kabisa, ila sasa huyu leo anaenda kuliwa mida ya saa 4, napicha nitatumiwa, nimemwambia jamaa ahakikishe anamla asimuache.
Wadada badilikeni jamani, demu yuko vizuri, sio kanishinda ila naogopa kufa wakuu, atakayehitaji no. yake nampa inbox ila mpaka jamaa amalize mission yake msije kumuaribia, atakaehitaji anicheki jioni.
hawajakutana, bado anamzugaLeta mrejesho mkuu nini kilitokea baada ya huyo jamaa kukutana na huyo mrembo
Hatari hatari