Recent content by Pona

  1. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Sasa unaniuliza Mimi kama Kibiti kuna mauaji au hakuna mauaji yanayoendelea wakati mwenye mamlaka ya kutoa taarifa hizo ni polisi!? Au leo umesahau kuwa waandishi wamezuiwa kusema jambo lolote linalohusu Kibiti!? Ukweli yanayoendelea Kibiti Mimi siyajui na hata wewe huyajui hadi tuwasikie...
  2. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Hivi wazanzibar wakiondoka wote Tanganyika ndio MUUNGANO utavunjika!!!!!??? Kwa mawazo haya kweli wazanzibar wanayo kazi ya kufanya hadi malengo yao yatimie. Hivi watu kutoka nje wanaoishi Tanganyika ni wazanzibar Tu!! Au wote wanaoishi Tanganyika kutoka sehemu mbali mbali duniani nchi zao...
  3. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Sasa wewe umemuelewa huyu kilaza wa CCM aliepaniki kwa maskani ya CCM kuchomwa Moto!!!?? Sasa upemba na uunguja umekujaje hapo!? Ndio uwaelewe watu kuwa UAMSHO wamepewa kesi ya UGAIDI Ila uhalisia ni sababu za kisiasa. Huu ni mwaka wa sita sasa wako ndani sasa nilini Zanzibar ikawa shuari na...
  4. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Sasa kuna maneno gani mabaya hapo!! Karume alieunganisha nchi katika moja ya hutuba zake aliwahi kusema HUWEZI KUWA MWANANCHI KAMA HUUJUI UCHUNGU WA NCHI. Sheikh kachalenji hapo kuwa madaraka waliyonayo mainland sasa wayageuze yawe ya Zanzibar na ya Zanzibar yawe ya Tanganyika halafu wazanzibar...
  5. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Kwa akili hizi za watanganyika UAMSHO wataendelea kuteseka Sana!! Hivi nchi inapimwa kwa wingi wa watu!!! Hivi Brunei yenye watu laki 5 sio nchi!!!!! Au Vatican yenye watu 1000 sio nchi!!?? Au Monaco yenye watu 40,000 sio nchi!!!?? Hii ni hatari kweli kweli
  6. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Kama hawakurupuki na yaliyofanywa Kibiti ni sahihi kwanini hakuna mwandishi alieruhusiwa kwenda!? Na aliekwenda yuko wapi hadi leo!?
  7. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Hebu rudia kusoma post yangu ya number 60 namna ya wasiokuwa waislamu wanavyoandaa sababu za kuweza kuwadhuru waislamu!! Hivi unajua kwa nini akina maalim Seif Sharrif na wenzake waliwekwa ndani kwa miaka na kupewa kesi ya UHAINI!!
  8. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Huu ndio ukweli kuhusu UAMSHO kuwa hawako ndani katika magereza ya bara kwa sababu ya UGAIDI bali mambo ya kisiasa hasa pale walipowafumbua macho wazanzibar hasa wa UNGUJA ambao ndio iliyokuwa ngome ya CCM juu ya madhara na madhila ya MUUNGANO yanayoipata Zanzibar kutoka Tanganyika.
  9. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Wazungu wanasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya. Wewe unajua, serikali inajua na kila mtu anajua kuwa hawa watu wa UAMSHO wako mbali kabisa na ugaidi na hata wawekwe ndani umri wao wote basi hawatawakuta na hatia ya Hilo kosa la UGAIDI Kosa lao kubwa ambalo wamelifanya UAMSHO ni...
  10. Pona

    Sheikh Ponda: Sakata la Uamsho - Inatosha

    Nikawaida ya hawa jamaa kutengeneza matukio na kuwabebesha jamii za kiislam!!! Kosa lao kubwa ambalo UAMSHO wamelifanya basi ni kuzunguka katika VIJIJI NA VITONGOJI vya UNGUJA NA PEMBA na kuwaeleza watu UBAYA WA MUUNGANO WA TANZANIA
  11. Pona

    Kuna Miungano Mingine ni ya ajabu anayenyonywa ndo anang'ang'ania usivunjike anayenyonya anataman uvunjike leo

    Hii habari ya kuwa familia ya wazembe wanataka kujitenga na familia ambayo inawapa manufaa makubwa inahitaji iwekwe kwenye vitabu kumbukumbu!!!! Ila mtoa mada anahitaji kujua kuwa moja ya sababu ambazo zimewatofautisha wanaadamu na viumbe nyengine ni AKILI sasa hii familia ya "WAZEMBE" imeona...
  12. Pona

    Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Maneno yako KUNTU! Rudia Bunge la katiba pale mwanasheria mkuu wa serikali ya Zanzibar alipoenda kinyume na wote watu wa serikali ya Zanzibar pale alipoweka wazi asiyo wafikiana nayo ambayo yataenda kuiumiza Zanzibar na watu wake, hakujali kama atapoteza kazi au laa
  13. Pona

    Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Pia tusisahau kuwa hawa wanasiasa BORA TUMBO huwa wanahofia matumbo yao kukosa chakula hasa pale wanapoona wanaowaongoza ni WAOGA kuliko kunguru! Viongozi wa upinzani Zanzibar wanajivunia uimara wa wafuasi wao ndio maana hata lile lilokuwa linavuma kwa wapemba katika miaka ya 1995 hadi 2000 la...
  14. Pona

    Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Upumbavu huu ni waasili uliorithiwa toka enzi na enzi pale wenyewe kwa wenyewe walipokuwa wanakamatana na kuuzana utumwani!! Mbali ya upumbavu pia huchangiwa na UOGA uliokithiri!! Hata pale CUF walipoitisha maandamano ya January mwaka 2001 na serikali ikayapiga marufuku basi wazanzibar...
  15. Pona

    Kuhama kwa wanachama: Je, CCM Zanzibar haina muda wa kutafuta wanachama?

    Moja ya shughuli za maendeleo ni kuziba mashimo yaliyomo katika barabara za lami kwa kutumia kifusi na kuwanyanyasa wafanya biashara ndogo ndogo na kuwanyang'anya Mali zao
Back
Top Bottom