Takwimu zingine zina walakini. Pamoja na kwamba tuna matatizo yetu hatuwezi kushika mkia...Usiamini kila kitu kilicho andikwa kuna mkono wa mtu ....Trump angesema "Fake Data"
Historia inaonyesha kuwa mataifa makubwa tangu mwanzo huwa yanatufuta malighafi kutoka Afrika ili kuendeleza uchumi wa nchi zao. Wao ni bishara ambayo huziacha nchi za Afrika maskini na hawajali kabisa maendeleo ya nchi hizi. Akitokea kiongozi ambaye anatetea usawa wa Biashara kwa pande zote na...
Biashara zingine hazina tija hata kidogo. Tanzania kuna fursa nyingi za kipato hasa kwenye sekta ya utalii na Kilimo. Tuachane na kukimbilia utajiri wa haraka haraka.
Hapa tunapoteza muda. Bomoa bomoa iendelee. Serikali iwapatie sehemu mbadala na iwe marufuku narudia marufuku watu kurudi kwenye maeneo yaliyo bomolewa.
Viagra nzuri ni hii: Usinywe pombe. kula chakula kizuri chenye mchanganyiko wa mboga za majani, matunda, nk. chukua muda kuongea na mpenzi wako mambo ya kufurahishana na hautakuwa na haja ya madawa kama viagra......
Good luck Eng. Mhando.
You should follow the steps of the late Eng. Salvatory Mosha. He was dedicated to serving TANESCO whole heartily.
Be ware of political influence in your decisions and always advise the Board properly and let the Board of Directors take decisions on all key issues of...
Mengi yamesemwa sana kuhusu kesi ya Liyumba ! Yangu ni machache tu...Liyumba hakuwa CEO wa Benki kwa hiyo kiutaratibu wa kazi CEO ndiyo anawajibika katika maamuzi yeyote yanayofanyika katika chombo cha Umma...Sasa matumizi mabaya ya ofisi alifanya Liyumba kwa vipi? Malipo yeyote yanayofanyika...
These statistics can be misleading and let us not be taken aback by them. I have travelled a lot and have compared Tanzania with some of the countries that are said to be better than us. Believe me Tanzania is not that worse off. And as one user has put it The data and source used by the...
Wengine Prof. Raphael Mwalyosi, Prof. Idris Mtulia na Maprofesa wengi tu waliojazana kwenye bunge wanafaa nao waachane na siasa wamekuwa wazee na waende wakafundishe vyuo vikuu huko ujuzu hauzeheki....
Maombolezo siyo maana watu wasifanye kazi... Maombolezo ni kutoa heshima kwa kiongozi mkuu kama huyu aliyetumikia taifa kukumbukwa...Nashauri tufanye kazi kwa bidii na maarifa wakati huu wa maombolezo na baadaye katika kumuenzi Simba wa vita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.