Recent content by Poker face

  1. P

    JamiiForums Tanzania Kwa anayefahamu kuhusu bachelor of biotechnology and laboratory science

    Ukisoma hii digrii ina ajira kwel kwa hapa tanzania, na ni maeneo gan unaweza kufanya kazi? Msaada tafadhari wana jf ,nawasilisha.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wana Sua.

    Hivi jaman direct cost ni shs. Ngapi kwa sisi wa 1 year.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Tamko Rasmi Chadema Juu ya Tukio la 15.06.13

    mmh! Sasa jaman wanataka tufanane na libya au syria watu wanaleta uchochez hafu wanataka kupigania haki zao kwa aman kwel.
  4. P

    JamiiForums Tanzania 10650 kutuma form kwa EMS

    Sio ushamba ndivyo ilivyo ulitaka iende bure bure hii ndo bongo mkuu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuhusu jkt

    Ndo ivyo mkuu
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayejua kuhusu jkt

    Kwa wale form 6 tunaoripoti katika kambi tulizopangiwa je kuna maelekezo yoyote kuhusu vitu tunavyotakiwa kwenda navyo mfano nguo n.k. ? Kwa anayejua anisaidie hapo.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Bnadamu mzee dunan afark duna

    upo sawa kijana ukifika pande za machame kuna bibi ana miaka 157 yupo hai had sasa
  8. P

    JamiiForums Tanzania nimeamini CBG siyo sayansi

    jaman kuna awamu ya tatu mcwaze kule hawaendi kula bata ni kwata 2 had unataman ukimbie tena
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msanii mwingine wa bongo movie (KASHI) afariki dunia!

    RIP Kash!
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada bodi ya mikopo

    jaman hili tatizo litaisha lini maana muda wa kuapply bodi ndo huo unakaribia mwisho likewise form zenyewe zinamlolongo mreeefu dah hii ndo tz kwel.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    kwan Udom nayo admission point zinakuwaje?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    Hiyo env healh ndo kitu gan ?
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    hakuna shida
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    Poa, nilijua md ndo bac tena
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya naweza soma medicine

    Dah, Ok!
Back
Top Bottom