124 Ali
JF-Expert Member
- Apr 25, 2010
- 7,802
- 5,494
Ni jamii ya mijusi mikubwa ,mingine ni zaidi ya tembo walioishi miaka milioni kadhaa duniani.fikria mamba awe na urefu wa twiga na mwili wa tembo!hahaha,hyo dinosauria ndo nini
Ni jamii ya mijusi mikubwa ,mingine ni zaidi ya tembo walioishi miaka milioni kadhaa duniani.fikria mamba awe na urefu wa twiga na mwili wa tembo!hahaha,hyo dinosauria ndo nini
Ni jamii ya mijusi mikubwa ,mingine ni zaidi ya tembo walioishi miaka milioni kadhaa duniani.fikria mamba awe na urefu wa twiga na mwili wa tembo!
Bibi yangu amefariki akiwa na umri wa miaka 119 kafariki mwk jana
hata mimi nashangaa mkuu! Babu yangu mzaa mama alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 119! Ni utaratibu upi wanaotumia kupata hizi taarifa na mimi nipeleke?? Ubaguzi wa rangi umewajaa hawa watu!!Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
hata mimi nashangaa mkuu! Babu yangu mzaa mama alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 119! Ni utaratibu upi wanaotumia kupata hizi taarifa na mimi nipeleke?? Ubaguzi wa rangi umewajaa hawa watu!!
Sawia kabisa!ndo type ya yule tulieibiwa na germanys
Mkuu nafahamu ila kwa sasa watu wengi hawadai waturejeshee kwa sasa hadi tuwe na mfumo imara wa ulinzi wa maliasili. Anaweza ibiwa mzima mzima toka museum ukashangaa alipitaje barabaranindo type ya yule tulieibiwa na germanys
sure wapo wazee moshi huko wana zaidi ya 120 bado wanapeta
Mkuu nafahamu ila kwa sasa watu wengi hawadai waturejeshee kwa sasa hadi tuwe na mfumo imara wa ulinzi wa maliasili. Anaweza ibiwa mzima mzima toka museum ukashangaa alipitaje barabarani
upo sawa kijana ukifika pande za machame kuna bibi ana miaka 157 yupo hai had sasa
Sawia kabisa!
unataka kuniambia hata marehamu bi kidude r.i.p. binti baraka alikuwa anasubiri?
nan anajua umri wake
Miaka 116 ndiyo mzee?, hiko ni kibint tu kwa bibi yangu ambaye alikufa akiwa na umr wa miaka 145, hao Guiness ni wabaguz tu kwanini rekodi zote zivunjwe na watu weupe!
Hawa watu wa Kitabu cha Guinness huwa wanafanya utafiti hafifu sana, sijui ni kwa makusudi ama kwa upendeleo maalum! Ila ki ukweli, miaka 116 si ya kuvunja rekodi ya dunia! Waje kijijini kwetu wakutane na Mzee Badalaha Kizimya Kibungi anayekimbilia miaka 130 kwa sasa.
Ushahidi ndio muhimu, alipozaliwa bibi yako ulikuwepo hata ushadidie?