Msaada bodi ya mikopo


N

ngonani

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2012
Messages
1,371
Likes
204
Points
160
N

ngonani

JF-Expert Member
Joined Aug 27, 2012
1,371 204 160
Tangu jana nimejeribu kuingia kwenye website ya bodi ya mikopo bila mafanikio,nadhani kuna technical problem kwenye server yao,nina log kwenye http://olas.heslb.go.tz/ lakini inatoa jibu kuwa 504 gateway time out unable to connect to origin web server.
Tafadhali mwenye kujua tatizo ni nini na ufumbuzi ukoje atujuze ili tuendelee kujaza form za mikopo.

Asanteni wana jamvi kwa msaada wenu
 
mkisyeli

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2013
Messages
260
Likes
33
Points
45
mkisyeli

mkisyeli

JF-Expert Member
Joined May 6, 2013
260 33 45
okay tatizo ni kwamba mda uliotalewa kufanya application ni mfupi so unakuta mda mwingi server wanakuwa wapo busy kwa sababu watu wanakuwa wengi wanaoomba mkopo kwa mda huo mimi nakushauri mda mzuri wa kuomba mkopo ni usiku ambapo users wanakuwa wachache hivyo inakuwa raisi sana kwako jaribu saa kwenye saa saba lazima ufanikiwe
 
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Messages
1,595
Likes
12
Points
0
M

MAKAH

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2010
1,595 12 0
okay tatizo ni kwamba mda uliotalewa kufanya application ni mfupi so unakuta mda mwingi server wanakuwa wapo busy kwa sababu watu wanakuwa wengi wanaoomba mkopo kwa mda huo mimi nakushauri mda mzuri wa kuomba mkopo ni usiku ambapo users wanakuwa wachache hivyo inakuwa raisi sana kwako jaribu saa kwenye saa saba lazima ufanikiwe
nimekesha mambo even worse!!!
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
32
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 32 145
yani hii system mara 1000000000 ife haina chochote.... hamna cha server kuwa busy wala nini. kipindi wanajipendekeza kuandaa OLAS walikuwa hawajui kama haya yatatokea. ingia heslb.go.tz utakuta idadi ya watu walio online haifiki hata 300 lakini sasa shida yake ni kama ile ile ya necta ni UPUUUZI TU. Sasa jaribu kulinganisha Facebook, Twitter zinahudumia watu wangapi kwa wakati mmoja basi ngoja nisiendee mbali jamiiforums sijawahi kuona ipo down kiasi cha OLAS au NECTA.

Sasa mtu umelipa vizuri M-Pesa mara unaambiwa M-Pesa Transaction ID Does Not Exist in our Systems yani ni ujanja ujanja tu... aghhhh
mara mia warudishe utaratibu wa zamani. sasa kuna haja gani ya kufanya online halafu tena utume hard copy
 
Danp36

Danp36

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2010
Messages
1,660
Likes
66
Points
145
Danp36

Danp36

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2010
1,660 66 145
kwel kaka,ila m pesa ukinunua subr baada ya masaa 16-24 ndo uingze.alaf tumia ucku watu wanakuwa si weng
 
Msafiri Kasian

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Messages
1,889
Likes
202
Points
160
Msafiri Kasian

Msafiri Kasian

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2011
1,889 202 160
pole sana mkuu, ila usikate tamaa endelea kuwasiliana nao na uendelee kujaribu mara nyingi na tena kabla ya tarehe 20 kufika. Baada ya tarehe 2 kwa kweli traffic itakuwa kubwa zaidi.
Likewise tcu, kama bado hujamaliza jitahidi umalize mapema, hilo tatizo la hizi websites 3 ( i.e ya tcu, heslb na necta) kuzingua ni kawaida.
 
N

Nyasiro

Verified Member
Joined
Feb 20, 2012
Messages
1,287
Likes
32
Points
145
N

Nyasiro

Verified Member
Joined Feb 20, 2012
1,287 32 145
jana sijalala toka saa 6 mpaka saa 1 asubuhi bila mafanikio :shock: lol!!!!
 
G

Gabriel Chishako

Member
Joined
Jun 9, 2013
Messages
12
Likes
0
Points
3
G

Gabriel Chishako

Member
Joined Jun 9, 2013
12 0 3
Jaman Nyasiro yan 2po wengi cha msing sikilizia 24 hour ndo hujarb au subir kesho mda wa kaz ndo huwapigie help center au kama ikishindikana kama upo dar timba ofic zao oposite na tirdo kama waenda msasani
 
JIMMY JORAM

JIMMY JORAM

Member
Joined
May 1, 2013
Messages
31
Likes
10
Points
15
Age
29
JIMMY JORAM

JIMMY JORAM

Member
Joined May 1, 2013
31 10 15
DA!! kama ni hiv th 30/6/2013, ni karibu!
 
M

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2013
Messages
435
Likes
20
Points
35
M

Mr. madevu

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2013
435 20 35
ni kweli server yao iko down, ila tusiwalaumu maana watu ni wengi na hi system inaunganishwa na server kama tatu hivyo mtaona jinsi gani ina kazi. suala sio usiku hata mchana inakubali, mimi nina stationery yangu na kila siku nasajili watu, na hata sasa ninafanya hivyo. Ukiona inagoma jaribu tena na tena.
 
Brother James

Brother James

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
173
Likes
25
Points
45
Brother James

Brother James

Senior Member
Joined Feb 21, 2012
173 25 45
Hakuna kitu kinachonikera na kuniudhi kwa hawa ndugu zetu HESLB kama kuwatumishia mfuko wa fedha ndugu zao EMS kwa kulazimisha waombaji mkopo kutuma form baada ya kujaza Application Online. Kama wameamua kila mwombaji ajisajili online na kuwafanya waingie gharama kwa kiasi kikubwa then wanataka hard copies je huo sio ubabaishaji jamani?? kwanini wasisimamie upande mmoja tu aidha online application au hard copy application. Naanza kuungana na mtu aliyesema kuwa HESLB wana 10% kwenye hili shirika la EMS sawa sawa kabisa na wenzao TUME YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA walivyo na 10% katika Shirika la POSTA na ndio maana hawataki waombaji watume maombi yao kwa nia yoyote zaidi ya POSTA
 
P

Poker face

Member
Joined
Mar 12, 2013
Messages
47
Likes
0
Points
0
Age
28
P

Poker face

Member
Joined Mar 12, 2013
47 0 0
jaman hili tatizo litaisha lini maana muda wa kuapply bodi ndo huo unakaribia mwisho likewise form zenyewe zinamlolongo mreeefu dah hii ndo tz kwel.
 

Forum statistics

Threads 1,274,981
Members 490,865
Posts 30,529,527