Recent content by POK

  1. P

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Hapa kwetu tunamwita Rais Wa watu....
  2. P

    CHADEMA Hawa waondolewe kabla ya 2014

    CHADEMA mwiba mkali kumbe!!!!!! Ni sawa unashauri gari litolewe engine afu et litafika safari yake salama!!!!huo n nn???
  3. P

    CHADEMA ikiwezekana kwa hali inayoendelea sasa mjipange upya

    Acha CCM waendelee kutumia nguvu kubwa kuiua CHADEMA,na CDM watumie nguvu kubwa kukijenga chama chao.2015 tutaona nan amefanikiwa katika mipango yake.
  4. P

    Vituo vya Star TV na Radio Free Afrika - Usaliti kwa UHURU wa habari?

    Angalia ITV(SUPER BRAND) na sikiliza KITULO FM hutakutana na hivi vibweka.
  5. P

    Nakala ya karatasi na mwandiko wa Lwakatare wakati anatoa maelekezo hii hapa

    Hili karatasi lilipigwaje picha??Me naona ni bora wapeleke 2 hz evidence polic,kulko kutuwekea hapa haina maana yoyote,lakin always giza na mwanga haviwez kukaa pamoja,ukweli utajtenga na uongo,na kwa mtazamo wangu wenye macho wameona.
  6. P

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Tanzania bwana kuna mambo!!
  7. P

    Dk Salim, Nchimbi, Tibaijuka waula CCM

    Ndoto bwana!!!!.:bange::bange::bange::bange::bange:
  8. P

    Haki ya kupata Habari: Kesi ya kikatiba dhidi ya spika ifunguliwe!

    Naona kuna haja ya kupata tena namba ya simu ya huyu katibu wa bunge,ili kama uma tumkumbushe wajibu wake.
  9. P

    Mchange, Shonza kuhamia CCM punde

    Na sasa yametimia,2nashukuru sana wadau kwa taarifa zenu za uhakika na za awali kabisa..
  10. P

    Juliana Shonza, Mtela Mwampamba wahamia CCM...

    Kumbe huu ndo ulikua mwisho wake........ansanten sana,sasa 2mewajua ni akina nani!!!!!!
  11. P

    Chadema kwanini mnakuwa na kigugumizi cha kuanzisha chadematv/m4ctv??...

    Ni wazo zuri sana,viongozi walichukue hili na walifanyie kaz.wadau 2po tayari kuchangia.
  12. P

    KISANDU aokoa maisha ya wanachuo wa SAUT

    Sio kirahisi hvo ku2danganya SAUT lol!!!
  13. P

    CHADEMA wajitokeza UDOM kuwasaidia wanafunzi wasio na mkopo mpaka sasa

    Ni jambo zuri tena la busara sana kwa chama makini cha watanzania.Lakini ni vizuri zaidi huo mkakati ukaangaliwa kwa upana sio 2 UDOM bali uwekwe mfuko maalum ambao utasaidia hata wanafunzi wengine kunufaika hata kidogo...
  14. P

    Nakumbushia tu: Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Napenda kua msafiri pia katika jahazi zuri hili.
Back
Top Bottom