Dk Salim, Nchimbi, Tibaijuka waula CCM

Dk Salim, Nchimbi, Tibaijuka waula CCM

Mkuu, kama hii itakuwa kama unavyotabiri / ulivyoota, basi inabidi tukupe kudos!
 
Habari wakuu wa jamvi...
usiku wa kuamkia leo nimeoteshwa kuwa CCM katika uchaguzi ujao 2015 wanamsimamisha ndugu salim ahmed salim na atashinda kuwa rais wetu ajaye..

baada ya kuamka nikaanza kutafakali nikaona inaweza kuwa kweli ndoto yangu ikatimia kwa sababu zifuatazo:
1. Salim. A.S hana kashifa yoyote kama viongozi wengine wanaotajwa kutaka kugombea
2. Kuchaguliwa kwake ktk CC kuna mpa nafasi kubwa.
3. Marais wa awamu mbili zilizopita wote wametoka bara hivyo sasa ni zamu ya ZNZ

Tumechoka na hii nahau ya zamu tunahitaji watu wenye uwezo wa kuongoza ambao hawatawaonea aibu waliokwapua pesa za walipa kodi. rais anayekuja lazima awafungulie mashitaka ... .Che nkapa, Jakaya na kundi lote la mafisadi waliotufikisha hapa.
 
Ndoto ni ndoto tu sana sana utamchulia mzee wa watu hana makuu pamoja na sifa zake
 
Amekutuma umfanyie kampeni? Au wewe ndiye Salim mwenyewe! Hiyo itakuwa ni ndoto ya mwendawazimu.
 
he!! Kumbe anakashfa kama hiyo, hajawahi kuikanusha? basi sasa CCM hawana mtu tena wa kusimamisha! atasimama nani sasa?
 
Labda rais wa TFF,ulitafsiri vibaya ndoto yako kudhani ni Rais wa Tanzania.Hii ni kwa sababu mchakato wa Rais wa TFF ndo unaendelea siyo wa JMT.
 
Mi niliota Lipumba atashinda,Chadema itakuwa ya pili,NCCR itakuwa ya tatu,CCM itakuwa ya nne. Nikampigia kura Lipumba Uchaguzi uliopita. Look what happenned.
 
Kwa mwaka 2005 alikuwa anafaa, lakini kwa 2015 kama anataka kumalizia uzee wake vizuri hizi siasa za sasa aachane nazo ajipumzikie Mzee wa watu. Kiukweli mambo ambayo Kikwete na kundi lake waliyomfanyia kwanza nimeshangaa hata alivyokubali huo u CC, lakini siasa Bwana kila kitu kinawezekana, ila akithubutu tu sijui huo moto wake utakuwaje, CCM wanataka kuponea kwake lakini haitawezakana
 
ndoto huwa ni matokeo ya kazi nyingi za mchana kuna jamaa alikuwa anaota anaongea na mungu akizinduka anawasimulia washikaji zake kile alichokuwa anaongea na mungu, alipofariki marafiki zake waka-compile zile ndoto wakaita korani, matokeo hasi ya hizo ndoto dunia yote inayashuhudia, chungulia afghanistan ukikutwana tv set unafungwa ukikutwa na AK47 unaonekana raia mwema, kwa hiyo ndoto sio kitu kizuri na hazifai kusimuliwa.

ITALY ukikutwa unamuingilia mwenamme mwenzio ww utakua raia mwema lkn ukitaka kuoa mwanamke unafungwa.
 
Habari wakuu wa jamvi...
usiku wa kuamkia leo nimeoteshwa kuwa CCM katika uchaguzi ujao 2015 wanamsimamisha ndugu salim ahmed salim na atashinda kuwa rais wetu ajaye..

baada ya kuamka nikaanza kutafakali nikaona inaweza kuwa kweli ndoto yangu ikatimia kwa sababu zifuatazo:
1. Salim. A.S hana kashifa yoyote kama viongozi wengine wanaotajwa kutaka kugombea
2. Kuchaguliwa kwake ktk CC kuna mpa nafasi kubwa.
3. Marais wa awamu mbili zilizopita wote wametoka bara hivyo sasa ni zamu ya ZNZ

We umekuja hapa kutafuta kutukanwa na mashabiki wa maandamano na migomo sasa ngojea matusi na kejeli!
 
Back
Top Bottom