sikuwahi kujua wazanzibar wanafaidi namna hii,hiki Wanachochangia ni kidogo mno ukilinganisha na matumizi ya muungano yaani hizo pesa zilipe madeni ya muungano,hizohizo zilipe police,wanajeshi na uhamiaji kulekwao,halafu ziendeshe na wizara zingine za muungano hapohapo wapate asilimia mbili ya...
pesa ndogo sana hiyo,Tena wazanzibar wanatupunja,hiyo ina maana TRA Kila mwezi huchukua billion 33.3🤣🤣🤣,halafu hela hiyohiyo tuwalipe wabunge wao 80 wanaofika huku,wanajeshi,police na uhamiaji walioko kule,wizara zote za muungano na hapohapo wanapata asilimia mbili Tena aisee mbona tunapunjwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.