Recent content by pnk

  1. pnk

    Kwa wakazi wa Dodoma

    Watanzania bwana!kwa nini hampendi ku think positive kila kitu nyie ni ku think negative tu?alafu eti ni great thinkers,dumb ass kabisa
  2. pnk

    KIBITI: Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kitongoji cha Mangwi wauawa kwa kupigwa risasi

    Yawezekana majirani wanaogopa hata kutoka wakishasikia mlio wa risasi,,,kumbuka kibiti sio Tarime tena wengine ukute wakisikia mlio wa risasi wanaingia uvunguni.All in all kwa mtazamo wa haraka inaonekana wauaji wametarget sana kuua viongozi wa serikali za mitaa na polisi sio raia wa kawaida...
  3. pnk

    Kwa wakazi wa Dodoma

    Kutafuta marafiki wa kushirikiana nao katika shida na raha ni ulesbian?hebu muogope Mungu na usipende kuhukumu binadamu wenzio.Ulitaka niseme natafuta marafiki wanaume hata kama ninae mwanaume wangu tayari?
  4. pnk

    Kwa wakazi wa Dodoma

    Wanawake tu mkuu kama uzi unavyojieleza
  5. pnk

    Kwa wakazi wa Dodoma

    Habari za majukumu wapendwa,mimi nipo Dodoma natafuta marafiki wa kike waliopo Dodoma kwa ajili ya kubadilishana mawazo na kusaidiana mambo ya kike kama ambavyo mnajua wanawake tunapenda kushirikiana.Sina muda mrefu sana tangu nihamie mkoa huu kwaiyo nakuwa mpweke sana sina marafiki wa...
  6. pnk

    Hivi kwanini kila ninachokifanya mke wangu haridhiki?

    duuuuuuh pole sana kaka,sijui sisi wanawake tukoje,,muombe Mungu akupe busara na uvumilivu kwa kipindi hiki naamini yote yatakwisha,hata Ayubu pia alitelekezwa na mke wake kwaiyo wewe sio wa kwanza kunyanyaswa,Mungu na akupiganie utoke kwenye haya majaribu salama
  7. pnk

    Nyie wanawake maisha sio muvi tu

    Nunua tv 2 kila mtu aangalie ya kwake,moja unaweza kuweka sebuleni na nyingine chumbani ili kila mtu awe na uhuru wa kuangalia anachotaka kwa utulivu
  8. pnk

    Nimeombwa hela ya wigi 300,000/= kuna wigi la bei hiyo?

    Hilo la laki 3 ni wigi sio weaving,na tofauti ya wigi na weaving ni kwamba weaving linashonewa kichwani hivyo mtu anakuwa nalo muda wote na baada ya kama week 2 linakuwa lishachakaa analifumua kichwani na kulitupa.Lakini hilo wigi la laki 3 ni nywele za kofia ambayo anavaa na kuvua...
  9. pnk

    Kazi katika mashirika ya ndege

    mi naona kawaida,nataka kufanya kazi ambayo moyo wangu unapenda
  10. pnk

    Kazi katika mashirika ya ndege

    sasa mambo ya kuwa single yana ulazima gani?mimi sina mume nina boyfriend
  11. pnk

    Kazi katika mashirika ya ndege

    Habari wana jukwaa,mimi ni mwanadada mwenye umri wa miaka 27 na nimesomea mambo ya ugavi na hivi sasa nimeajiriwa kama mgavi kwenye kampuni fulani kwa miaka 2 sasa,ila mimi kazi ya ugavi siipendi maana ilikuwa ni dream ya familia yangu na ndo walinishawishi nisome hii kozi,lakini mimi dream...
  12. pnk

    Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

    we punguani kweli,kwahiyo ulikuwa unataka uwe unakula bure,mwenzio ana matatizo unashindwa kumsaidia,,kama ulijua huna hela si ungekaa na mkeo,,,,,mburulaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  13. pnk

    Msaada: Ninayempenda have jorned my heart

    sasa hiyo ndo nini?hucho kiitaliano au kiebrania?maana hakieleweki
  14. pnk

    Vijana, wazee ndio wanawaharibia

    point aiseee,,,,,,maswali maswali kama tuko kwenye mtihani ya hivi vivulana inachosha sana,mara uko wapi mara unafanya nini unanilinda kwani mimi mwanao alaaaaaah
  15. pnk

    Mpenzi wangu ana wivu sana

    duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Back
Top Bottom