miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
mimi pesa ndiyo kipau mbele changu ,.. ila mke wa mtoa mada tv ndiyo kipaumbeleKwahiyo TV ni kipaumbele chako?
mimi pesa ndiyo kipau mbele changu ,.. ila mke wa mtoa mada tv ndiyo kipaumbeleKwahiyo TV ni kipaumbele chako?
mimi pesa ndiyo kipau mbele changu ,.. ila mke wa mtoa mada tv ndiyo kipaumbele
solution ni kuwakataza wakorea kuigiza tena kwasababu wanazua migogoro.Kwahiyo solution ni kununua TV mpya?
ndiyo ili kila mtu aangalie anachokitaka .. huyu aendelee na korean zake na huyu aendelee na mpira wakeKwahiyo solution ni kununua TV mpya?
Nunua tv 2 kila mtu aangalie ya kwake,moja unaweza kuweka sebuleni na nyingine chumbani ili kila mtu awe na uhuru wa kuangalia anachotaka kwa utulivunyie watu mnaboa kwa kweli.
inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kumvumilia mtu anayetaka kukufundisha uishi maisha ya kwenye muvi za kikorea na wewe unatambua ni African man.
muvi zake unamwachia aangalie ila ukitaka kuangalia mpira tu, utasikia twende kulala!!
kwa hiyo mie nisiangalie hobi zangu?