Recent content by Pney08

  1. Pney08

    Natafuta mpenzi mwanamke uwe (40-45) yrs

    Sasa unatafuta mwanamke au mume[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
  2. Pney08

    Kila nikiweka uzi wa kutaka mke wa pili Mods wanafuta...kunanii?

    Kua na mke mwenza yahitaji moyo.. haya tuwasubiri wanaoweza[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
  3. Pney08

    kitu cha bei zaidi ulichonunua kwa hela yako

    Baada ya kashikashi za simu yangu kuibiwa niliyonunuliwa na sponsor’ mwaka jana December nikazama dukani nikanunua simu mpya dukani kwa hela yangu roho bado inaniuma sana[emoji26] na sasa zimeshuka bei tofauti na nilivyonunua 2018
  4. Pney08

    Msanii Mbalamwezi kutoka kundi la 'The Mafik' afariki dunia ikidaiwa ni kutokana na majeraha ya kupigwa

    Bongo5 mjomba wake kaelezea kidogo ila chanzo bado mtihani... utata
  5. Pney08

    Hivi kukonda na kunenepa kipi Rahisi?

    Nilivyokua shule nilikua nacheza 50 to 55’ nilikua kimodooooo Kuja kuanza chuo nikakonda mpaka 48kgs first semester’ semester ya pili mpaka nikamaliza nilikua nanenepa tu (naona niliridhika na maisha ya huko) nimesoma dodoma ila nyumbani ni dar So nilikua nakaa mwenyewe Sasahivi nna 78kgs...
  6. Pney08

    Naomba kujua vitu vichache kuhusu maisha ya Uarabuni hasa Qatar

    Qatar ubaguzi upo kama kawAida tu na kazi nyingi wanazopewa watu weusi ni ufundi wa nyumba kama kuweka tiles kupaka rangi na vizuri uende kwa kampuni yan uwe chini ya kampuni ili iwe rahisi Hali ya hewa ni ya kawaida (humidity)
  7. Pney08

    VODACOM: Sheria za nchi zinatulazimisha kukubaliana na matakwa ya TCRA

    Kwahiyo ashapatikana??? [emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️[emoji125]‍♀️
  8. Pney08

    BAMIA

    Nimesoma comments zenu nimegundua wengi mna stress... poleni
  9. Pney08

    BAMIA

    Wanazengo mpo salama Buheri wa afya????? Kama kichwa kinavyojieleza hapo... Leo mambo ni bamia aka vibamia/kibamia[emoji23][emoji23] Aisee vibamia vitamu bwana sijui kwann watu wanavinangaga kwa kweli? Raha ya kibamia ukikalie juuu afu wote mshughulike aiseee ni raha zaidi midushelele inatanua...
  10. Pney08

    NAOMBENI JIBU LA SWALI LANGU WANA JF

    Hapana hauwezi ni mpaka uwe na d (4) Zamani kulikua na kitu kinaitwa foundation course (kutafuta marks za kuanzia certficate) ila ilitolewa mwaka 2016 mpk Leo sijasikia tena kama ipo Kama unaweza rudi shule (kufanya mtihani) urekebishe cheti’ utafute credit moja hapo hata kma ni d except ya somo...
  11. Pney08

    Video: KIKWETE out of politics, was a modern president

    Kweli tunamkumbuka yani hapa nalia na mengi[emoji30] JK WE MISS YOU BABA[emoji1430]
Back
Top Bottom